Star times, ting na DSTV zinachakachulika

Iredeto 2 ya DSTV haijawahi kuwa hacked so sahau kabisa kama unatafuta kuchakachua DSTV, card sharing ina matatizo mengi sana, kwanza key zinaweza kubadilika kila baada ya sekunde kadhaa meaning inabidi upate key mpya, kuna decoder zinaweza kuvuta keys kutoka net kama kuna mtu anashare keys zake ila tatizo jamaa anayeshare anajiweka hadharani so kukamatwa rahisi.

Pia kampuni nyingi hazitransmit unencrypted keys, key inabidi iwe decrypted ndani ya decoder na ni decoder official tu zinazoweza ku decrypt hiyo key someni Wiki ya Iredeto na cardsharing mtaona muziki wake.
HAKUNA KISICHOWEZEKANA watu wanaendelea kukamua

HAKUNA KISICHOWEZEKANA watu wanaendelea kukamua

Narudia Iredeto 2 haijawahi kuwa hacked!! Asikudanganye mtu yoyote!! Maybe hakuna kisichowezekana, lakini hadi hivi sasa hakijawezekana.

Narudia Iredeto 2 haijawahi kuwa hacked!! Asikudanganye mtu yoyote!! Maybe hakuna kisichowezekana, lakini hadi hivi sasa hakijawezekana.

Keep on dreaming!!! How can you make such a bold statement?

Bado nasubiri mzee, nadhani umepata muda mreeefu tu. Na sisi wadau wako tumesubiri vya kutosha. Tuna hamu sana ya kupata ufahamu huo.

hana lolote huyu mtanambia! kama mtu anataka kutumia supersport free tuongee nina device ambayo unaweza kutumia supersport zote free na haina kikomo ni kifaa ambacho kimedizainiwa kwa ajili ya kuichakachua supersport na hao supersport wamechemsha kusolve hili tatizo karibia zanzibar yote wanatumia hii device

mkuu , mbona haujatoa contact zozote , au mwaga mambo hadharani hapa tufaidi wote

Wakuu, for once lets think outside the BOX!

Kwani DSTV ndio option peke yake? DSTV hatuipendi kwa sababu gharama za ziko juu, kwa wapenzi wa mpira (movies na series una download kwa torrent), kama una contact person Europe au Dubai, tafuta dish kubwa (TShs 200,000 -300,000, kubwa zaidi ya lile tunalotumia kuangalia TBC1, Star TV, ITV etc), ongea na jamaa zako walioko Dubai au Europe wakununulie Smart Card kama ile ya DSTV; msimu mzima, ligi zote kubwa gharama ni kama $150 tu.
Anzieni hapa: https://www.lj-sport.com/onlinestore/agora.cgi

Google thoroughly the needful, then tushare information/contacts - problem solved.

Narudia Iredeto 2 haijawahi kuwa hacked!! Asikudanganye mtu yoyote!! Maybe hakuna kisichowezekana, lakini hadi hivi sasa hakijawezekana.

kaka ucseme hivyo sema we hujui.Ingia nairaland forum uone wa2ndu.wana2mia decoder 2 na nyungo 2 bila internet conection.

kaka ucseme hivyo sema we hujui.Ingia nairaland forum uone wa2ndu.wana2mia decoder 2 na nyungo 2 bila internet conection.

yah mkuu nlshawah ckia k2 kama icho tena apa apa bongo fundi moja alinifunilia macho ambapo unaihitaj 2 dishes dekoda mbili na kifaa moja kinaitwa dongo iko kifaa ku2ka chini na ndo imp kuliko vyote y? Coz it works like magic kinachofanya ni kudetect new settingz set kama keyz coz dstv wanabadili kla cku ile 2 make more harder 2 crack it lakn iko kifaa ni kiboko yao maana ina detect new keyz na kuapply auto. Ili kuku ensure upate bure alwayz hehe. Na izo dish mbili cnakaa sidewise moja east kwny dstv signals na nyingine west. Vifaa vyote kununua ni 350000 sasa nangoja mpaka mwez ujao niweke izo k2 na kuona kwl ntafankwa hehe ntaleta feedback. Lakn u must admit wachina nouma!!!

Narudia Iredeto 2 haijawahi kuwa hacked!! Asikudanganye mtu yoyote!! Maybe hakuna kisichowezekana, lakini hadi hivi sasa hakijawezekana.

Kaka usipenda kubisha kitu usicho kuwa na uhakika nacho tembea uone..

Dstv inakuwa hacked na watu kibao.. Siwezi kusema hapa kiusalama but binafsi natumia abudhabi sports na free dstv for so many years..

Kuna watu kibao dar wanaiba na nakupa siri UKIONA NYUMBA INA DISH MBILI JUU ZINAANGALIANA NA MOJA YA DSTV ujue hao wanaiba hizo dish mbili moja inakuwa ya signals ambayo ni ya normal dstv na nyingine ya Data kuiba signals kwenye dstv na unapoiba dstv hautumii decoder ya dstv tena unaizima na kuitupa kule na smart card yake.. Wanatumia decoder zinazounlock ambazo hazitumii smart card kwenye hizo decoder unachomeka waya mbili nyuma moja kutoka dish la dstv na nyingine kutoka dish la data...

Ningekutajia jina la hicho kidocoder kinacho unlock dstv sema kwa sababu za kiusalama siwezi kukutajia..

KAMA UMESHINDWA NI WEWE TU WENZAKO WANAWEZA AS NOTHING IMPOSIBLE UNDER THE SUN..

Tena hicho kidecoder kina unlock hadi HD channel nazo na kinabadilisha code kila baada ya dakika as multichoice wanabadilisha code jamaa wanabadilika nao sema tatizo umeme ukikatika kinachelewa kuload pale unaporudi unaweza kukisubiri kama saa moja ndo kikae sawa kinakuwa kinasaka new codes maana multichoice wanachange sana codes na vile vile wakati multichoice wanabadilisha codes ina stack kwa sekunde kazaa then inahamia kwenye hiyo code mpya huwezi kutambua kama sio mzoefu..

Similar Discussions

Back
Top Bottom