Star times, ting na DSTV zinachakachulika

UMETUDANGANYA VYA KUTOSHA,UMETUPOTEZEA MUDA VYA KUTOSHA NA UMEPOTEA HUONEKANI TUMEBAKI BILA MAJIBU TUNAHISI LABDA NA WEWE NI MMOJA WAWAHANGA WAAJALI YA SUMRY AU NI MUHUNI TU ULIEAMUA KUTUPOTEZEAMUDAWETU NA HUKU UKIJUA HUWEZI KUFANYA ULICHOTUAHIDI! WATU KAMA NYIE NDIO MNASHUSHA HADHI YA ''JF''.:biggrin1: :biggrin1:!! umeniudhi sana ,wewe niwakupigwa ban tujue moja!

ngoja nikalipie kihalali dstv yangu!!

Gud kalipe mwaya!
 
Mkuu nijuavyo mimi DSTV is encrypted pay tv that can not be hacked.

Zinachakachulika ila waTZ mnaongea sana,DSTV mfano watu tulikuwa tunajitazmia bure waTZ wakaenda mpaka multchoice wakawa wanawatambia tunaangalia bure tunaangalia bure,ikibidi wastuke wakaifunga sasa hivi ukijua technology unakula vitu mwenyewe tu akuna kumwanga maujanja kwenye open kama apa. Alafu kesho tu mautamu yanakuwa blocked. Watanzania iwapo tungeweza tunza siri kama wapakistani na shekhee Osama,tungefika mbali
 
hakuna mtu yoyote dunia mpaka sasa aliyeweza ku hack pay tv kama vile dstv. kwani dstv wanatumia technology inayoitwa irdeto 2. irdeto 1 kwa sasa haitumiki tena kwani kuna hacker mmoja aliiweza na kuifanya kuwa useless. sasa wanatumia irdeto 2 ambayo kwa kila dakika inabadilisha decoding word yake. (kama password kwa ajili ya kufanya descrambling). tokea siku ile ile alivyoanzisha hii thread mimi nikamwambia kuwa na bet hakuna kitu hicho.
weka dau lolote. huwezi ku hack irdeto 2. njia pekee labda utumie cardsharing ambayo kwa hapa tz wengi wetu hatujui hata ndio nini.
 
sijui sana forum rules za JF lakini huyu mwanzisha thread kwa makusudi ame wa decieve JF members. halafu ameingia mitini. au ndio mshampiga ban
 
nadhani inawezekana kuna hoteli moja ubungo inatumia receiver za kawaida za satelite but wana some chanel za dstv na hawalipi hata centi moja
 
nadhani inawezekana kuna hoteli moja ubungo inatumia receiver za kawaida za satelite but wana some chanel za dstv na hawalipi hata centi moja

hawalipi? manager wa hoteli amekupa hizo info au? inawezekana kutumia reciever za kawaida hata 200 lakini angalau moja iwe ina zi de scramble au kuzi unlock nayo iwe capable ya ku unlock irdeto 2. na reciever zilobaki zinatumia kushare na ile master.
 
Mkuu nijuavyo mimi DSTV is encrypted pay tv that can not be hacked.
Mkuu ziko decorder zilikuwa zinadescramble hizo channels zote za DSTV tena ni zaidi ya Premium, tatizo ndo hilo la wabongo kutamba, jamaa wakapihga pin so kwa sasa hakuna ujanza tena
 
Zinachakachulika ila waTZ mnaongea sana,DSTV mfano watu tulikuwa tunajitazmia bure waTZ wakaenda mpaka multchoice wakawa wanawatambia tunaangalia bure tunaangalia bure,ikibidi wastuke wakaifunga sasa hivi ukijua technology unakula vitu mwenyewe tu akuna kumwanga maujanja kwenye open kama apa. Alafu kesho tu mautamu yanakuwa blocked. Watanzania iwapo tungeweza tunza siri kama wapakistani na shekhee Osama,tungefika mbali
Ni sahihi mkuu unachosema, sbb hata hapa mtu akimwaga data, kesho utakuta wameblock tena, hata ukisema utumie PM unaweza kuta unam-PM fraud controller wa DSTV, so tuachana tu na habari ya kuchakachua tulipie tu, au ukijua namna ya kuchakachua usitangaze
 
Kwa dstv inawezekana sana ila ni process ndefu kidogo na decorder yako iwe ya kisasa yenye kutumia internet coz hawa jamaa huwa wanachange namba kila baada ya siku tatu na kuendelea sasa kama decorder inakuwa inatumia internet zile code zinakuwa zinajiupdate automatic kama ilivyo antivirus ya kaspersky
 
@omary salum
ingekuwa siku tatu mbona tungefaidi. only after few minutes decoding word huwa lina change. ila hiyo ya internet unayozungumza ndio njia pekee inayowezekana. na unaunganisha na server ambalo lina card ya dstv ya kihalali. kwa hiyo wao dstv wanajua ni card ya hali ndio inayosoma data zetu lakini kupitia internet ndio inashare na wengine. na njia hii ndio inaitwa cardsharing ambayo mpaka sasa makampuni mengi hawajaiweza kuitibu, kwa hiyo hata ukimwaga maujanja hapa hamna cha kufanya ili kuzuia. tatizo ndio reciever maalum zenye tundu ya kuingilia waya wa internet ambazo ni ghali kidogo.
 
Mkuu ziko decorder zilikuwa zinadescramble hizo channels zote za DSTV tena ni zaidi ya Premium, tatizo ndo hilo la wabongo kutamba, jamaa wakapihga pin so kwa sasa hakuna ujanza tena

sio kutamba. wao wenyewe irdeto (kampuni ya kulinda au kuscramble pay tv na data) wanajua kuwa something went wrong. ni kama mashine ya kutengeneza au kugenerate random number vile ndivyo priple za encription zao zilivyo. inapoharibika tu wanajua. ila ku repair inachukua muda ndio maana sie tunasema tayari tumepata maujanja ya kuangalia bure. kumbe kunatokezea technical problems. na hii ni tru kwa pay tv zote sio tu dstv.
 
hahahaha wabongo kwa kujisifu bwana, wachina wamehack google ingekua bongo sjui ingekuaje. Technology ya dstv ina gps data jamani ukiwasha decoder they see it
 
hahahaha wabongo kwa kujisifu bwana, wachina wamehack google ingekua bongo sjui ingekuaje. Technology ya dstv ina gps data jamani ukiwasha decoder they see it
hakuna kisichowezekana. Watu wanachakachua DSTV huu mwezi wa 6 sasa hajaweza ku block. Unatumia dish mbili za ku band, receiver mbili, Arisat 600, na moja ya kichina ndogo kama walkman. .chukua dstv mdagasca usichukue south Africa.
 
hakuna mtu yoyote dunia mpaka sasa aliyeweza ku hack pay tv kama vile dstv. kwani dstv wanatumia technology inayoitwa irdeto 2. irdeto 1 kwa sasa haitumiki tena kwani kuna hacker mmoja aliiweza na kuifanya kuwa useless. sasa wanatumia irdeto 2 ambayo kwa kila dakika inabadilisha decoding word yake. (kama password kwa ajili ya kufanya descrambling). tokea siku ile ile alivyoanzisha hii thread mimi nikamwambia kuwa na bet hakuna kitu hicho.
weka dau lolote. huwezi ku hack irdeto 2. njia pekee labda utumie cardsharing ambayo kwa hapa tz wengi wetu hatujui hata ndio nini.

Nani kakudanganya kuwa haiwezekani? Sema wewe huwezi!!!
 
Iredeto 2 ya DSTV haijawahi kuwa hacked so sahau kabisa kama unatafuta kuchakachua DSTV, card sharing ina matatizo mengi sana, kwanza key zinaweza kubadilika kila baada ya sekunde kadhaa meaning inabidi upate key mpya, kuna decoder zinaweza kuvuta keys kutoka net kama kuna mtu anashare keys zake ila tatizo jamaa anayeshare anajiweka hadharani so kukamatwa rahisi.

Pia kampuni nyingi hazitransmit unencrypted keys, key inabidi iwe decrypted ndani ya decoder na ni decoder official tu zinazoweza ku decrypt hiyo key someni Wiki ya Iredeto na cardsharing mtaona muziki wake.
 
Hivyo vitu vinawezekana sana tu nilipokuwa UK nakumbuka kulikuwa kuna jamaa yangu mmoja raia wa Nigeria alikuwa akiangalia channel za kulipia bure sikuelewa anachokifanya niliporejea bongo nikamweleza kuhusu dstv akanitumia decoder inayotumia net ambmayo ndiyo natumia hadi sasa alinielekeza jinsi ya kuconnect inatakiwa uwe online muda wote yeye ndio aliyekuwa anafanya mambo yote kutoka uingereza nilikuwa napata channel zote bure hadi nyingine za uk ila tatizo net siku hiyo ikisumbua basi ujue channel zote za kulipa hazitafunguka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom