Star Times nao wameanza magumashi!

Aaah,ndio maana hapa kwangu siwapatiiiii! ngoja nimuagize jamaa yangu aje na hiyo dishi niachane kabisa na hawa wachina
 
Bora nyinyi mnayaona hata hayo makapi. Sisi huku unanunua na wanakutestia safi. Ukifika hom no signal. Hata antena uiunganishe na 40 feet pipe, hamna kitu. Wachina washatuonamo. Siku tukisara watakimbia nchi
 
hata mie nimeona tangazo lao linapita kwenye TV jana nimejaribu kuwapigia ile namba ipo kwenye answer machine hakuna anayepokea sasa sijajua wanataka nini hasa na pia wameweka ili channel ya UBC kwa hapo nimewasifu kwani sasa tutaweza kuona mech za UK prem na UEFA bila tatizo
kaka fafanua ni nini hii na ni number ngapi? au ndio UHURU?
 
Bora nyinyi mnayaona hata hayo makapi. Sisi huku unanunua na wanakutestia safi. Ukifika hom no signal. Hata antena uiunganishe na 40 feet pipe, hamna kitu. Wachina washatuonamo. Siku tukisara watakimbia nchi

Na mimi ikitokea chokochoko tu naanza na kitu chochote cha wachina hapa Tanganyika, kama zanzibar wanawataka waendelee nao kivyao. nyambaf zao...wasen...
 
Hawafai ni wasanii tu,hata bure silitaki decorder lao,kwa wale wanaotaka kuona ligi ya uk wakanunue dish zenj 150000 tu unapata mechizote,ni dish la arabsat chanel inaitwa abudhabi sport iko chanel 4, kwakiarabu inaitwa abudhabi riyadhiya.hakuna malipo yamwezi hata sumni na unaona mechizote ligiya uingereza live!

Supersport byebye hasa ukipata na card ya Aljazeera.
KKO jamaa wauza hii kitu 600,000 nma card ya aljazeera ni 800,000/=
kumbe huko cheap namna hii!
 
Kuna category ya uhuru,na mambo,sasa sijajua ni kwa bei gani?halafu mbona huduma zao bado sana?mbona karibu channel zote ni free to air kwenye dish za kawaida?ACHENI UWIZI MMEANZA UCHAKACHUAJI KAMA WACHINA WENGINE SIO?

wameanza kulipa kodi?

wale machinga wanaokuja kwa gia ya wafanyakazi wa star times wamedhibitiwa?
 
Mmmh, hayo ya kichina huku kwetu hayajafika na bora wametukosa... hizi za kiarabu mbona mimi napata zote kwa dish la kawaida la ft 6 nimelinunua sh. elfu 75 Musoma. mimi nadhani ni setting tu! fundi alinambia kuna Arab setting, dish linaangalia vertical unapata channel nyingi tu za uarabuni pamoja na Aljazeera zote ya kiarabu na kiingereza, BBC na nyingi za picha ila kama unataka na za hapa nyumbani basi uwe na mawili kama mimi.
 
hahaaa hizo ni free to air!
watu wanazungumzia za kulipia, vipi super sport unakamata?
 
Tupa hicho king'amuzi nenda pale maltchoice chukua kitu decoda ya dstv weka ndani hapo kero zitahisha hao wachina pasua kichwa chenel nzuri uwezi pata kwa elfu 7 .wezi hao. au unataka kwenda china ?
 
Mambo gani tena mnatuletea? Kama mmeona mnataka pesa pandisheni ghalama za vocha tu! Sio kutugawanya kwasababu za umasikini wetu. Tafadharini sana na sisi masikini tunataka kuangalia ligi za ulaya na italia. Mkileta huo upuuzi wenu nitavunja au nitatupa hichi king'amuzi chunu...afu tbc ilikuwa tunaipata bure but now tunalipia. *******....****...pumbu...****** yenu thats way mr sata wa zambia anawatimua mrudi kwenu china.
mkuu hupo chama gani.? ndo lilobakia sasa
 
Wapuuzi startimes..Tukiingia kwenye huo mfumo wa digital..it means watu hawata angalia Tv tena..TCRA mko wapi!
 
Hawafai ni wasanii tu,hata bure silitaki decorder lao,kwa wale wanaotaka kuona ligi ya uk wakanunue dish zenj 150000 tu unapata mechizote,ni dish la arabsat chanel inaitwa abudhabi sport iko chanel 4, kwakiarabu inaitwa abudhabi riyadhiya.hakuna malipo yamwezi hata sumni na unaona mechizote ligiya uingereza live!
thanx kwa info mkuu, lkn tuko ktk transition kutoka analogy kwenda digital, hizo channel za kiarabu je?
 
Bora nyinyi mnayaona hata hayo makapi. Sisi huku unanunua na wanakutestia safi. Ukifika hom no signal. Hata antena uiunganishe na 40 feet pipe, hamna kitu. Wachina washatuonamo. Siku tukisara watakimbia nchi

HAWA CHINA CH.PI UPANDE WA NJE KWELI SIJUI KWANINI NLIKIINGIZA KWENYE MKENGE HUU HELA IKIISHA NDO MWISHO PUMBAV ZAO,YAANI CHANEL ZOTE AMBAZO ZILIKUWA NA AFADHALI WAMEKATA!MACHANEL YENYEWE HOVYOO HALAF BADO WANAYAGAWA!WANGEBORESHA KWANZA NDO WAGAWE!pumbav zao shenz kabisa
 
Mmmh, hayo ya kichina huku kwetu hayajafika na bora wametukosa... hizi za kiarabu mbona mimi napata zote kwa dish la kawaida la ft 6 nimelinunua sh. elfu 75 Musoma. mimi nadhani ni setting tu! fundi alinambia kuna Arab setting, dish linaangalia vertical unapata channel nyingi tu za uarabuni pamoja na Aljazeera zote ya kiarabu na kiingereza, BBC na nyingi za picha ila kama unataka na za hapa nyumbani basi uwe na mawili kama mimi.

Kweli, hawa jamaa wanapatikana kirahisi tu. Ili uwapate vizuri tafuta dish la 1.6m Ku kupitia Badr 6 @ 26.0 deg east. Parameters zao ni 11804-H (freq-pol) na 27500-3/4 (sr-fec).

Chaneli zao ni kama ifuatavyo:

Abu Dhabi Al Emarat
Abu Dhabi Al Oula
Abu Dhabi Al Oula +1
Abu Dhabi Poet
Abu Dhabi Sports 1
Abu Dhabi Sports Extra
National Geographic Channel Abu Dhabi
Abu Dhabi Sports 2
Abu Dhabi Drama
 
Back
Top Bottom