Star Times nao wameanza magumashi!

Pumbaf sana,kwanin mmetuwekea chanal zakipuuzi alafu zakijanja kama mtv base,komfu na ubc mmezitenga...
 
Mambo gani tena mnatuletea? Kama mmeona mnataka pesa pandisheni ghalama za vocha tu! Sio kutugawanya kwasababu za umasikini wetu. Tafadharini sana na sisi masikini tunataka kuangalia ligi za ulaya na italia. Mkileta huo upuuzi wenu nitavunja au nitatupa hichi king'amuzi chunu...afu tbc ilikuwa tunaipata bure but now tunalipia. *******....****...pumbu...****** yenu thats way mr sata wa zambia anawatimua mrudi kwenu china.
 
Wewe ndio unashtuka muda huu,tangu asubuhi mambo hayo yameanza,halafu hawana maelezo ya utaratibu gani watu wafuate,simu yao haipatikana!kazi ipo!
 
Pumbaf sana,kwanin mmetuwekea chanal zakipuuzi alafu zakijanja kama mtv base,komfu na ubc mmezitenga...

Haswaa ni wapumbaf wa biashara hawa. nawaona hao marketing officers wao kama hawana akili vile. Nina hasira utafikiri nalazimishwa kuangalia kupitia hizi dikoda. shame on me...
 
Jamani ebu nielekezeni hayo madishi ya zenj yanayokamata iyo tv ya uarabuni. nibip namba yangu ni 0782 808844 au 0767 808866, ntakupigia angalau unielekeze na recever yake ikoje? kipo bush kinoma iyo itanitoa kichizi!
 
Jamani ebu nielekezeni hayo madishi ya zenj yanayokamata iyo tv ya uarabuni. nibip namba yangu ni 0782 808844 au 0767 808866, ntakupigia angalau unielekeze na recever yake ikoje? nipo bush kinoma iyo itanitoa kichizi!
 
Navyojua mimi kuna vifurushi viwili, kimoja kinaitwa MAMBO na kingine kinaitwa UHURU, kwenye tangazo lao wanasema MAMBO ina chanel zipatazo 35+ bei yake ni 9,000 kwa mwezi, na UHURU yenye chaneli kama 45+ bei yake ni 18,000 kwa mwezi! Kwa kifupi ni hivyo!
 
Navyojua mimi kuna vifurushi viwili, kimoja kinaitwa MAMBO na kingine kinaitwa UHURU, kwenye tangazo lao wanasema MAMBO ina chanel zipatazo 35+ bei yake ni 9,000 kwa mwezi, na UHURU yenye chaneli kama 45+ bei yake ni 18,000 kwa mwezi! Kwa kifupi ni hivyo!

asante mkuu...nangoje ela yangu iishe nikaitupe chooni
 
Mwera.... ebu nibip tuongee angalau nipate information ya ilo dish, nimeweka hapo no zangu, hata ya tigo ni 0718 808844
 
Wadau startimes imeshindwa kazi, ni wezi wakubwa, leo chanel 20 zimegoma zinadai hazijalipiwa wakati nimelipia juzi tu.
 
Mwera.... ebu nibip tuongee angalau nipate information ya ilo dish, nimeweka hapo no zangu, hata ya tigo ni 0718 808844
kamugisha dish zinapatikana zenj nenda Sameer store mchangani street,au muzamil shop eneo la darajani,kama una mtu zenj muagize utapata bila tabu, Abudhabi sport2,abudhabisport 3 na abudhabisport 4 kuna chanel kama 5 zinaonesha lig ya uk,na chanel zingine unajionea muvi na habari nzuri sana.
 
TCRA wanaupungufu mkubwa wa watumishi, hawapo tayari kuajiri japo kampuni wanazosimamia zinaongezeka na kutawanyika nchini nzima
wameng'ang'ania hao hao waliopo kwa muda mrefu, uku wakilipishana posho zaidi ya 10 kwa mwezi
 
Hawafai ni wasanii tu,hata bure silitaki decorder lao,kwa wale wanaotaka kuona ligi ya uk wakanunue dish zenj 150000 tu unapata mechizote,ni dish la arabsat chanel inaitwa abudhabi sport iko chanel 4, kwakiarabu inaitwa abudhabi riyadhiya.hakuna malipo yamwezi hata sumni na unaona mechizote ligiya uingereza live!

sawa mkuu, ila iwe uhakika sio magumashi tena
 
Mwera.... kaka hapo umenifikisha, vp unatumia recever ipi? maana bila kujua hayo itakuwa tabu!
 
nasubilia unibip kaka, ninahamu na hzo chanel, vp hazna vkwazo? je ukiweka receiver uki-search mwenyewe au kuna frequency unatakiwa kuwa nazo ili uzipate? naitaji darasa tafadhari
 
hata mie nimeona tangazo lao linapita kwenye tv jana nimejaribu kuwapigia ile namba ipo kwenye answer machine hakuna anayepokea sasa sijajua wanataka nini hasa na pia wameweka ili channel ya ubc kwa hapo nimewasifu kwani sasa tutaweza kuona mech za uk prem na uefa bila tatizo

waongo tu nimeona jana wanatangaza blablablaaaaa sijui valencia ubc ,na pia leo asubuh nimeona cjui uhuru nini aaaah nasikitika lakini hakukuwa na kitu kama hicho lol
 
nasubilia unibip kaka, ninahamu na hzo chanel, vp hazna vkwazo? je ukiweka receiver uki-search mwenyewe au kuna frequency unatakiwa kuwa nazo ili uzipate? naitaji darasa tafadhari
mkuu kamugisha usijali kesho mchana nitakupigia simu nikupe maelekezo yakina,pia kama upo dar nitakupa namba yajamaayangu alieko zenj atakuletea mpk ulipo hilo dish.
 
Kumbe wengi wametuchakachua manake hawajasema lolote zaidi ya ukuda wao wa kukata ch kimy kimya hawa wes....raaa sana..akili hamna kabisa wanawaza kuiba tuuu...loh mkuu nieelekeze hicho kitu CHA abudhabi
 
Back
Top Bottom