Star Times na utapeli/uongo wa kushindwa kuonyesha fainali Euro 2012..

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,539
9,462
Kipindi cha kuelekea kuanza kwa mashindano ya Uero 2012 StarTimes walikuwa wanatoa matangazo kwamba kupitia kwenye king'amuzi cha Startimes.. watakuwa wanaonyesha moja kwa moja fainali hizo kupitia UBC.. Cha ajabu na kushangaza ni baada ya kuonyesha mechi moja ya ufunguzi jana.. wameshindwa kuonyesha mechi nyingine iliofuata ya Russia vs Check.. za leo Holland vs Denmark na Portugal vs Germany.. Kinachouma ni kitendo cha kwenda kununua voucher ya Startimes kwa ajili ya kuangalia fainali ambazo sasa hazionyeshwi tena.. Nikalalamike wapi..?
Kweli ambao hatuna hata hivi vidogo vitachukuliwa...
 
Kaka Startimes ya kichina toka lini Chinese can be reliable?hawana tofauti na magambaz
 
Na nyie bana, UBC ni free to air. Startimes do not have control of what UBC does or doesn't. Wabongo wana tabia ya kushawishika kirahisi hata kwa vitu visivyo na mantiki.
 
Na nyie bana, UBC ni free to air. Startimes do not have control of what UBC does or doesn't. Wabongo wana tabia ya kushawishika kirahisi hata kwa vitu visivyo na mantiki.

ni kweli hata walipodanganywa kuwa uamsho walichoma makanisa wakanywa kila kitu bila kuichunguza serikali ya CCM na manyago yake
 
Kipindi cha kuelekea kuanza kwa mashindano ya Uero 2012 StarTimes walikuwa wanatoa matangazo kwamba kupitia kwenye king'amuzi cha Startimes.. watakuwa wanaonyesha moja kwa moja fainali hizo kupitia UBC.. Cha ajabu na kushangaza ni baada ya kuonyesha mechi moja ya ufunguzi jana.. wameshindwa kuonyesha mechi nyingine iliofuata ya Russia vs Check.. za leo Holland vs Denmark na Portugal vs Germany.. Kinachouma ni kitendo cha kwenda kununua voucher ya Startimes kwa ajili ya kuangalia fainali ambazo sasa hazionyeshwi tena.. Nikalalamike wapi..?
Kweli ambao hatuna hata hivi vidogo vitachukuliwa...

Huo ni wizi,kwa nini watangaze na watu walipie sh 18000 alafu wasioneshe bila taarifa?Tuandamdne tukawadai hela zetu.Mimi nililipia ijumaa.Kama hawakuwa na control na UBC kwa nini walitangaza?
 
Huo ni wizi,kwa nini watangaze na watu walipie sh 18000 alafu wasioneshe bila taarifa?Tuandamdne tukawadai hela zetu.Mimi nililipia ijumaa.Kama hawakuwa na control na UBC kwa nini walitangaza?
hata wangekupa taarifa isingesaidia, 'chinese model' hiyo babake.
tungekua na serikali makini ingeshawafurusha hawa wababaishaji.
 
Mjinga huamini kila neno!
it is partly tamaa ya sisi wapenda dezo na dishonesty ya hawa chongchung uchwara. it seems huku africa ndio wameona ni 'soko-mjinga' ambako hakuna regulation wala monitoring, ukimhonga ***** mmoja basi unavuna tu shamba la bibi-style. majuzi niliona waarabu fulani wanataka kucompete na hii blind bidding dhidi ya Skysports kuhusu rights za EPL baada ya mkataba wa sasa kuisha, Sky wenyewe matumbo joto maana maarab washaanza kuuza sports package as low as $ 10 in France. Sasa ktk hali kaa hiyo haingii akilini DSTV kutulipisha $ 80 kwa kuunga package zote hata kama huna interest nazo, huu ni unyonyaji na sadly hakuna wa kuukemea.
 
it is partly tamaa ya
sisi wapenda dezo na dishonesty ya hawa chongchung uchwara. it seems
huku africa ndio wameona ni 'soko-mjinga' ambako hakuna regulation wala
monitoring, ukimhonga ***** mmoja basi unavuna tu shamba la bibi-style.
majuzi niliona waarabu fulani wanataka kucompete na hii blind bidding
dhidi ya Skysports kuhusu rights za EPL baada ya mkataba wa sasa kuisha,
Sky wenyewe matumbo joto maana maarab washaanza kuuza sports package as
low as $ 10 in France. Sasa ktk hali kaa hiyo haingii akilini DSTV
kutulipisha $ 80 kwa kuunga package zote hata kama huna interest nazo,
huu ni unyonyaji na sadly hakuna wa kuukemea.

dawa ni kuleta ushindani.
 
chezea mchina wewe kwao kila kitu feki mpaka decoder so mchezo jaman inakuaje wale Ting nao wanahuduma nzur? au ndo bongo land ye2? hao star times kama nimestuka cjalipia.
 
kuna watu wanachangia hapa kama watumwa,hivi unawezaje kusema mtu anapenda dezo wakati analipia,hata kama ni kidogo anastahili apate kile alichoahidiwa,ni wengi wamenunua vin'gamuzi ili waangalie euro,halafu star times wameaminika kwa kua wako ubia na TBC kumbe hamna chochote ni ubabaishaji tu,mi bado nafikiria ninunua kin'gamuzi gani maana bado sijaona,ina maana gani ununue king'amuzi halafu mechi za maana kama za euro hupati?
 
Mjinga huamini kila neno!

Mkuu kama angekuwa ametangaza Nape habari hizi nicingeamini hata kidogo.. Bt hawa waliotangaza ni wafanya biashara ambao tuliingia nao mkataba kihalali na serikali kupitia TCRA wanalijua hilo..
 
dawa ni kuleta ushindani.

Mkuu ilikuja GTv hapa.. Gharama zao zilikuwa zaidi ya nusu ya gharama za DSTV.. Bahati mbaya ikawa mhanga wa anguko la uchumi.. Ninachokiona ni ushirikiano mchafu kati DSTV (multchoice) na viongozi wetu hapa.. Haingii akilini TBC kushindwa kuonyesha mashindano makubwa wakati television za nchi nyingine zinarusha matangazo..
 
kuna watu wanachangia hapa kama watumwa,hivi unawezaje kusema mtu anapenda dezo wakati analipia,hata kama ni kidogo anastahili apate kile alichoahidiwa,ni wengi wamenunua vin'gamuzi ili waangalie euro,halafu star times wameaminika kwa kua wako ubia na TBC kumbe hamna chochote ni ubabaishaji tu,mi bado nafikiria ninunua kin'gamuzi gani maana bado sijaona,ina maana gani ununue king'amuzi halafu mechi za maana kama za euro hupati?

Halafu kinachouma Mkuu nimepiga namba zao za customer care wamenisubirisha mpaka cimu ikakata.. Kuja kuangalia salio limeisha.. Yaani salio la shs elfu 4 na ushee limeisha kwa kuwapigia wao.. Huu ni wizi wa saa sita mchana.. May their souls rest in hell wakifa.. Damn dem..
 
Back
Top Bottom