Star time

Mi katika namba zote zilizotolewa sijapata yoyote!
Si 698 wala 570 wala nini hazikubali!
Any other altenative wadau?
 
Waswahili bwana, umepata bure unataka kuwabania wenzio!! Mpende jirani yako zaidi ya UNAVYOJIPENDA, Lol!
watakuwa washaona wamebadili inashika atn tu no dubai sports n others zilizoshika jana.NILISEMA MIMI.btw am not mswahili am german.
 
Mkuu nashukuru kwa taarifa hii muhimu...naomba maelekezo wapi pa kupata hii kitu. thanks again
dah ting sasa hivi bomba kinooma nakula dubai sports1 ni bundesliga wikiendi yote ss hivi navyoandika kuna game kali ya hannovover fc na fc cologne LIVE hannover tayari keshatunguliwa kimoja. kuna kbc1 ya kenya champions league live wanaonesha wrestling wwe kuna ajazeera channel ten eatv itv ghana tv ni movie kwa kwenda mbele. uki search all chanel automatic kwenye ting wapata chanelckm 75 hivi uganda UBC citizen ya kenya kbc1 za kichina km sita hivi movies na news kuna action tv movies dubai sports 1&2 channels za uarabuni lkn za movies tu km nne hivi ikiwamo na mbc yaani mpaka TVZ ya kina yakheee inaonekana
 
tunachakachua tu hata mnkibadilisha sisi ndo wababe wenu pumbavu! tecnology imelala hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom