Star Time hamtutendei haki.

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Hivi mnajiona sawa.Mpaka tv inayoendeshwa kwa kodi zetu tuilipie? Eti airtime ikiisha wanakata mpaka TBC1.Kwahiyo nayenyewe tuite chanel ya kulipia.Hii yenu ni TEKNOBANIA.Mnaboa
 
Hawa wachina wamenikera mno kwanza huduma zao ni za ovyo waliahidi ikifika tarehe 20/6/2012 wataanza kuonyesha channel zote za ndani bure mpaka leo hakuna Star,Itv, chanel 5, capital c2c ctn dtv, pia wanaweza ondoa chanel bila hata notes, kimsingi wanakera kama tbccm
 
maeneo mengi ya kimara star time haioneshi, tunaomba mitambo bora ili tupate manake sisi wengine huku ndo kwetuuuuuuuuuuuu
 
Hizi lawama zenu TBC, kwani hamjui kama wananchi wanalipishwa chaneli yao.Je wabunge hili mbona hamliongelei Bungeni.Au kwa kuwa nyie mna Dstv.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom