Stanford, chuo kilochozaa Google, Yahoo, HP etc wanatoa kozi za bure.

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,493
2,247
Baadhi ya watu waliosoma Stanford na kampuni zilizozaliwa chuo hiko.
  • Government: 3 current Supreme Court Justices (Chief Justice William Rehnquist along with Associate Justices Anthony Kennedy and Stephen Breyer), former U.S. Secretary of State Warren Christopher, 5 U.S. senators, and Ehud Barak (former Prime Minister of Israel)
  • Business: the CEOs of 3Com, Hewlett-Packard,Nike, and Sun Microsystems (see a list of companies founded by members of the Stanford community)
  • Celebrities: Reese Witherspoon, Chelsea Clinton, Ted Koppel, Sigourney Weaver, Ted Danson, Jack Palance, Jennifer Connelly, and Fred Savage
  • Sports: Tiger Woods, John Elway,and John McEnroe
  • Education: the presidents of Yale,the University of Arizona, and Johns Hopkins.
  • Science: Vinton Cerf “the Fatherof the Internet”, and 17 astronauts (including Sally Ride), and the founders of Yahoo! and the founders of Google.
Stanford wametangaza kozi za bure hizi:
  1. Lean Launchpad
  2. Technology Entrepreneurship
  3. Anatomy
  4. Making Green Buildings
  5. Information Theory
  6. Model Thinking
  7. Game Theory
  8. Computer Science
  9. CS 101 Machine Learning
  10. Software as a Service
  11. Human-Computer Interaction
  12. Natural Language Processing
  13. Probabilistic Graphical Models
  14. Cryptography
  15. Design and Analysis of Algorithms I
  16. Computer Security
Link: Technology Entrepreneurship nenda chini kuona course zote.
 
hawa jamaa wako juu sana kuna video zao lecture za programming methodolgy tutorial course wameziachia bure mpaka You tube zipo na ziko clear ile
 
Fafanuo kidogo jizi sio youtube video tu, hizi zitakuwa ni kozi kamili inayotolewa kwa njia ya mtandao.
 
Fafanuo kidogo jizi sio youtube video tu, hizi zitakuwa ni kozi kamili inayotolewa kwa njia ya mtandao.

Kang hata hizo lekcha zilizopo youtube ni kozi amili zinatolewa kwa njia ya mtadao na ukisubscribe unaweza kutumiwa email na hata kwa njia ya posta.

Sasa ukisema ni kozi kamili inayotoewa kwa njia ya mtandao na siyo youtube sijui una maana gani. you tube nayo si ni moja media na mojawapo ya nyezo zinaztumia kuwasilisha uumbe kweye mtandao. Ina maana kozi lecha zao zilizp youtube sio kamili.?

Nimeobserve hivyo vyuo wamefungua channel youtube na kozi zao zote za bure wanaweka huko na ziko full. So sad nilijua hizi link baada ya kumaliza kanumba colleges. Nadhani hata wanaotakiwa kujua a kutumia sana hizi reources wengi hawana habari.

Kwa hiyo kozi yeyote ya bure ya stanford itawekwa pia youtube kwenye channel yao.

No tovuti nyingine yenye mkusanyiko wa hizo kozi ni academicearth.org/
 
Business: the CEOs of 3Com, Hewlett-Packard,Nike, and Sun Microsystems (see a list of companies founded by members of the Stanford community)

Mkuu hiyo ni kampuni ya 3M au 3com?.
 
Nimeobserver hivyo vyuo wamefungua channel youtube na kozi zao zote za bure wanaweka huko na ziko full. So sad nilijua hizi link baada ya kumaliza kanumba colleges. Nadhani hata wanaotakiwa kujua a kutumia sana hizi reources wengi hawana habari.

Kwa hiyo kozi yeyote ya bure ya stanford itawekwa pia youtube kwenye channel yao.

No tovuti nyingine yenye mkusanyiko wa hizo kozi ni academicearth.org/

Hii inakuwa kozi kabisa na assignments, quizes, homework, unaweza kumwuliza prof maswali etc.
 
Business: the CEOs of 3Com, Hewlett-Packard,Nike, and Sun Microsystems (see a list of companies founded by members of the Stanford community)

Mkuu hiyo ni kampuni ya 3M au 3com?.

Ni 3Com, ilikuja kununuliwa na HP.

3Com Corporation was a pioneering digital electronics manufacturer best known for its computer network infrastructure products. The company was co-founded in 1979 by Robert Metcalfe, Howard Charney, Bruce Borden, and Greg Shaw. The name 3Com came from the company's focus on "Computers, Communication and Compatibility".
 
Hata Profesa Mwesiga Baregu wa Chadema ni graduate wa Stanford...,what a coincidence!
 
Kang hata hizo lekcha zilizopo youtube ni kozi amili zinatolewa kwa njia ya mtadao na ukisubscribe unaweza kutumiwa email na hata kwa njia ya posta.

Sasa ukisema ni kozi kamili inayotoewa kwa njia ya mtandao na siyo youtube sijui una maana gani. you tube nayo si ni moja media na mojawapo ya nyezo zinaztumia kuwasilisha uumbe kweye mtandao. Ina maana kozi lecha zao zilizp youtube sio kamili.?

Nimeobserve hivyo vyuo wamefungua channel youtube na kozi zao zote za bure wanaweka huko na ziko full. So sad nilijua hizi link baada ya kumaliza kanumba colleges. Nadhani hata wanaotakiwa kujua a kutumia sana hizi reources wengi hawana habari.

Kwa hiyo kozi yeyote ya bure ya stanford itawekwa pia youtube kwenye channel yao.

No tovuti nyingine yenye mkusanyiko wa hizo kozi ni academicearth.org/

Prof Ibrahim Lipumba
 
Back
Top Bottom