Stand up comedians gani wa Afrika unawakubali zaidi?

Huyu jamaa angerudi tu kufundisha wanafunzi comedy haiwezi

Naonaga kama anafanya comedy anaiga za wenzake hajui kuwa unique

Mpoki

Mimi najiuliza pia

Umeua mkuu sio kwa hili dongo

Wonders shall never end
Angekua anaona hiz comments ange ritaya
 
1. TREVOR NOAH - SOUTH AFRICA

2. DANIEL 'CHURCHILL' NDAMBUKI - KENYA

3. MICHAEL BLACKSON - GHANA

.
.
.

WENGINE NI...bila mpangilio wa number...

Klint the Drunk (Nigeria),

Basket Mouth (Nigeria),

Anne Kansiime (Uganda),

Prof. Hammo - Kenya (huyu jamaa has potential kwenda mbali, so natural, gifted na sauti pia..wish him the best..kwangu mimi anamzidi Eric Omondi mbaliiii but ts a matter of time!)

Eric Omondi (Kenya)

YY - Kenya (hata huyu akijitahidi anaweza kufika mbali)

other Churchill show comedians - Kenya

Kula like kubwa
 
Habari za leo JF members

Nimependa kuuliza hili swali ili kuongeza ufahamu zaidi
Binafsi nimebahatika kuona recorded video za shows za hawa stand up comedians wa Africa na nikagundua wako talented na wanafikiria outside the box
Baadhi yao ni..
1. Klint the drunk - Nigeria
2. Basket mouth - Nigeria
3. Prof Hammo - Kenya
4. Pili pili - Tanzania
Najua list ni ndefu hebu wataje ili tuwafahamu zaidi na kama unajua wanatoka nchi gn

Just curious!

They are NOT funny but are forcing issues only.
 
1. TREVOR NOAH - SOUTH AFRICA

2. DANIEL 'CHURCHILL' NDAMBUKI - KENYA

3. MICHAEL BLACKSON - GHANA

.
.
.

WENGINE NI...bila mpangilio wa number...

Klint the Drunk (Nigeria),

Basket Mouth (Nigeria),

Anne Kansiime (Uganda),

Prof. Hammo - Kenya (huyu jamaa has potential kwenda mbali, so natural, gifted na sauti pia..wish him the best..kwangu mimi anamzidi Eric Omondi mbaliiii but ts a matter of time!)

Eric Omondi (Kenya)

YY - Kenya (hata huyu akijitahidi anaweza kufika mbali)

other Churchill show comedians - Kenya

Great observation
 
bongo namkubali mpoki huyo pilipili sijuibu unaumwa nn mpaka akuchekeshe
Ha ha haaaaaaa. Ukitaka kujua ukweli potosha Habari kdgo then utaujua ukweli.. I can see the results
 
we jamaa hauko siriaz eti Pilipili, mi hata sielewagi anachekesha nini. Kibongobongo Mpoki anaweza kimbiza, Uganda kuna Yule mdada anaitwa Anne Kansiime aisee anabalaa, Kama hujawahi muona andika hilo jina You Tube. Eric Omondi wa Kenya sioni Kama ni mkali kivile ingawa anajitahidi. Kwa East Africa huyo Dada Anne naona anaongoza kwa upande wangu
 
Mpaka sasa kwa niliowaona ni 1.Basket mouth 2.Mpoki 3.Omondi 4.Mc pilipili(Anajitahidi japo wengi inaonekana hamumkubali)
 
Mpaka sasa kwa niliowaona ni 1.Basket mouth 2.Mpoki 3.Omondi 4.Mc pilipili(Anajitahidi japo wengi inaonekana hamumkubali)
Pilipili ni mkalimani wa vichekesho vya wenzake. I think i am the one who created the Nokia tune turururu tururururuuuuu
 
Mpaka sasa kwa niliowaona ni 1.Basket mouth 2.Mpoki 3.Omondi 4.Mc pilipili(Anajitahidi japo wengi inaonekana hamumkubali)
Kuna kuchekesha na kujichejesha huyu kipilipili anajichekesha na kucheka mwenyewe!! Mpoki hata asipo ongea tu tayari umesha cheka mwenyewe
 
Back
Top Bottom