Stanbic bank yazuia mishara ya ATCL

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Bank ya stanbic imeamua kushikilia cheque za mishahara ya wafanyakazi
wa ATCL ya mwezi october
Akiongea na mwandishi wetu meneja uhusiano wa stanbic amesema
kampuni ya ATCL ilikuwa na madeni makubwa tu kabla ya kuamua kukamata magari yao ili tuyauze kulipia pesa tulizowakopesha...tukiwa kwenye process serikali ikaingilia kati na kulipa pesa kiasi..unajua ndugu mhandishi hawa watu walikuwa wanapitisha pesa zao NBC walipoona madeni makubwa wakaleta kwetu tukawapokea vizuri tu.wakaja kukopa hela nyingi tu kwa ajili ya magari yao 26 yaliokuwa yakitokea DUBAI....baada ya hapo tukasikia wamekosa hela ya kutolea bandarini..tukawakopesha baadhi...wakenda kutoa baadhi ya magari..baada ya pale wakaja kukopa pesa nyingi tu karibu na sh million 800 kwa ajili ya menejiment..kwa ajili ya magari yao....,wakaanza kulipa baada ya miezi mitatu tu wakaacha kulipa..tukawaandikia baruaawakujibu kabisa..tukamwandikia CEO akuna majibu ya kueleweka zaidi ya siasa...tukaandika barua kwa HR awakujibu..tukawasubiri walete cheque zao za mwezi october..majuzi wakaleta tukaamua kuzingiza kwenye madeni yao...na hili tuliamua kufanya baada ya kuwashauri watuletee kadi za magari hao waliochukua wakajibu mnaidai ATCL ..wao tuliwadhaminihivyo tukaona ni vyema tuanze kurudisha hela zetu mapema
 
Mkapa na mramba waliiba mimi nikijua watahama tanzania lakini cha ajabu tuko nao, mungu atawalaani tu.
 
Hawa majambazi dawa yao ni kuwafilisi ama wasiwepo kabisa duniani ona watu 15 wanasababisha watu 200 na kukosa mshahara ushenzi mtupu
 
Back
Top Bottom