Kama hujaomba uhamisho kuna stahili utapata. Kwa haraka haraka;
1. Usafiri wa mizigo-hii iategemea na cheo chako mf. mimi ni tani 3,kama gari hamnautapewa mileage, sijui kwa sasa ni Tshs ngapi
2. Subsistence allowance equal to your perdiem mf 45,000,65,000 au 85,000 per day kutegemea na mshahara/cheo chako
3. Travel allowance, nadhani ni Tshs 6000 per day kama sikosei
4. Utpewa amount sawa na mke (if married) na mtoto unapewa nusu (uhalali unanitia shaka)
5. ......................
6.........................
NB. Tafuta Standing Orders of Public Service pamoja na Policy za hiyo Institution ambapo unafanyia mkuu zitakusaidia kujua haki zako maana hawa ma HR wetu siku hizi bogus kabisa (wengi wao), anaweza kukunyima stahili zako kwa kutozijua.
Kuna utata pia kwenye substance allowance walio wengi wanalipwa kwa siku 14. na hii inategemea scale ya mshahara wa mtu na sehemu anakohamishiwa hivyo kuna utofauti kati ya miji(halmashauri) kijijini (miji mingine wao wanaita hivyo) jiji na manispaa rate zinalingana. Kuhusu disturbance allowance kwa LGA wanatumia formula hii {gross salary X1/10 X12}. Unaweza kulipwa uhamisho kama umeomba ikiwa umekaa kituo kimoja cha kazi kwa miaka mitano ingawa hii inategemea na mwajiri wako ila standing order inaelekeza hivyo. Ila vyote hivi omba mkuuwa idara asiwe mtu wa roho ya kutu maana mikuu mingine ya idara ni manoko kama nini hasa anapoona ailyeko chini yake anaelekea kupokea mshiko ambao yeye hauingii mfukoni mwake1. Utasafirishiwa Mizigo, kama wapokea mshahara kuanzia ngazi ya C kwenda Juu ni tani3. Kama ofisi yako haitakupa usafiri itabidi wakulipie gharama ya tani 3 mara Tsh 1000 mara umbali {kwa kilometa}
2. Utalipwa subsistance allowance sawa na perdiem yako kwa siku 7 wewe na mwenza wako, na kama una watoto na wategemezi watalipwa nusu yake. {Hapa ni watoto wako wote ambao ulikuwa unaishi nao huko ulipotoka hata kama ni zaidi ya wa4}
3. Utalipwa disturbance allowance {Hapa rates zinatofautiana, kwa watumishi wa serikali kuu ni Gross Salary ya mwezi mmoja ila wale wa Local gov wana formular yao}
Kumbuka stahili hizi ni kwa uhamisho unaohusu kuhamisha mizigo, na uhamisho huo uwe si wa kuomba au kama umeomba na ukameet vigezo vya kulipwa basi uwe umepata uthibitisho wa kugharamiwa either na former or new employer kabla hujahama.
Kumbe ni utashi wa mkuu wa idara? Kwani serikali haijaweka utaratibu na kuufafanua...???Kuna utata pia kwenye substance allowance walio wengi wanalipwa kwa siku 14. na hii inategemea scale ya mshahara wa mtu na sehemu anakohamishiwa hivyo kuna utofauti kati ya miji(halmashauri) kijijini (miji mingine wao wanaita hivyo) jiji na manispaa rate zinalingana. Kuhusu disturbance allowance kwa LGA wanatumia formula hii {gross salary X1/10 X12}. Unaweza kulipwa uhamisho kama umeomba ikiwa umekaa kituo kimoja cha kazi kwa miaka mitano ingawa hii inategemea na mwajiri wako ila standing order inaelekeza hivyo. Ila vyote hivi omba mkuuwa idara asiwe mtu wa roho ya kutu maana mikuu mingine ya idara ni manoko kama nini hasa anapoona ailyeko chini yake anaelekea kupokea mshiko ambao yeye hauingii mfukoni mwake