Stage of marriage

KWI KWI

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
286
84
Which do you think is the most difficult/challenging stage of marriage?


  • First 2 years
  • While raising children
  • After the kids have moved out and gone
If none of the above,please give your experience.......
 
Which do you think is the most difficult/challenging stage of marriage?



  • First 2 years
  • While raising children
  • After the kids have moved out and gone

If none of the above,please give your experience.......



Kwi kwi its not that simple, kuna watu wanakosana siku wedding night hata bado kugusana....
 
Inategemea na tabia zenu, mlivokuzwa, uchumi wenu, elimu yenu, nk. Hakuna fumula
 
baada tu ya kumaliza kusoma nimepata kwi kwi narudi mda si mrefu ngoja nisake maji kwanza
 
Wana sayansi bado hawajapata majibu,kwa nini ngombe anakula nyasi alafu anatoa maziwa.
 
Wana sayansi bado hawajapata majibu,kwa nini ngombe anakula nyasi alafu anatoa maziwa.

mbona unaanzisha sired mahali pasipofaa? By the wy most of foods animals eat zinabadidilishwa ndani ya mwili na kuwa into different forms with differnt functns. Majani yana starch ambayo hubadilishwa kuwa protein za aina mbalimbali mojawapo ikiwa ni zile za kwenye maziwa. Ni kwa mawazo yangu mzee!
 
Inategemea na mambo yafuatayo:
1. Hali yenu ya kiuchumi
2. Utayari wa kujikubali nyinyi wenyewe na changa moto zinazo wakabili.
3. Jinsi gani wanandoa mnaheshimu uhusiano wenu na utayari wa kusubir na kuvumiliana.
4. Hali zenu za kiimani na kiwango cha imami zenu za dini.
5. Aina ya marafiki mlio nao na mipaka mliyo wawekea kujua juu ya mambo yenu ya ndoa.
6. Tabia za wazazi wenu na uwezo wao wa kuingilia maamuz ya kindoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom