St,ugustine univesity

baitani

Member
Aug 13, 2012
10
1
Ndugu zangu registration pale st.augustine ni issue. Usumbufu.je nawenzangu mmepata usumbufu huo.inakera
 
Ahh hostels za ndani zitakua zimeisha. za nje ndio tabu zaidi kila unayoenda imejaa

Fain gani mkuu??
 
Hakuna usumbufu kinachotakiwa ni ada yako kwa wale wenzangu na mimi first year NON PRIOLITY COURSE ufike na 733,000/= tofauti na hapo NO registration.Usumbufu hakuna kwa leo mimi nimetumia 30 minutes tu.
 
wanakagua vitu gani na gani kwani?na wanasemaje kuhusu Watu wanaotegemea kulipiwa mkopo na bodi?
 
wanakagua vitu gani na gani kwani?na wanasemaje kuhusu Watu wanaotegemea kulipiwa mkopo na bodi?

Original certificates na slip za benk basi hawana uhusiano na bodi ya mikopo kama umeaply laon kama mimi na mpaka sasa hawajatoa allocation bodi ya mikopo hautapokelewa.CASH FIRST
 
Tcu kwenye mtandao wao walitoa majina 3.kama cheti chako hakina majina 3 ni issue. wengi wetu vyeti vyetu vina majina mawili.
 
cash 733,000 siyo issue pale ,wewe umekuwa na bahati, watu wamekaa siku tatu kwa issue ya spelling kwenye jina lake,wanasema sio wewe tutadhibitashaje wakati namba yake ya mtihani ni hiyo ambayo wanayo wao.hacha kaka we jipange tu
 
450,000 tsh kwa wenye mkopo.
733,000 tsh kwa usiye na mkopo + 300,000 hostel offcampus kiwango cha chini + utakula nini =( )
 
Kama hostel zimejaa wasaidie wenzenu ambao hawajaripoti toeni contact kwa weye room off cumpus.maisha yanaanzia hapo chuoni
 
Back
Top Bottom