st mary's ya mama lwekatare mpo humu????2001 kurudi nyuma

Muuza Sura

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,985
1,345
kama ulisoma st mary's ya mama lwekatare kipindi cha mwaka 2001 kushuka chini naomba tukumbushane kipindi hiko cha kina Mr. Kidu,Mr Ang'ute na wengineo!!!!nachoka manake kila nikikuta post naona sijui waliosoma Ndanda!sijui Azania!hata kama hujasoma Mary Mary basi hata kama ulipitia F.K,Laureate au Green Acres na Loyola najua kuna vitu tunaweza kukumbushana kama siyo mambo ya slipway basi ndoto za kwenda Europe na U.S.A!!!!!Kings Tower!!!!!!
 
nilikuwepo pale bana miaka 3 mpaka 2001 tabata. respect to akina hakolo, chewe, rahim, sultan, maha, masele, magwiza, catherine, hasa wale waliokuwa 7 red chini ya mr kyaro. ebana wakuu wengine ni alistar elias, masood, saad, wengi saa. respect to them.
 
Much respect mzazi!!!!
 
muuza sura umenikumbusha mbali enzi za mr abel kibedi, kipindi cha kina mgeni
 
Dah!way back!principal mr charo!matozi hawataki kuingia D.H wanaenda kwa sista massawe pale mbuyuni kwenye court ya basket kugonga chapati,samosa na soda!
 
Kumbe nyi ni wa saint?????
Sisi ni wa enzi za Technical Schools km Mazengo..Arusha n.k
 
Dah!way back!principal mr charo!matozi hawataki kuingia D.H wanaenda kwa sista massawe pale mbuyuni kwenye court ya basket kugonga chapati,samosa na soda!

Hahahah mbona mie c tozi lakini nilikuwa jioni sikosi pale ule mchuzi wao ulizidi unga wa ngano paka linateleza.
 
nilikuwepo pale bana miaka 3 mpaka 2001 tabata. respect to akina hakolo, chewe, rahim, sultan, maha, masele, magwiza, catherine, hasa wale waliokuwa 7 red chini ya mr kyaro. ebana wakuu wengine ni alistar elias, masood, saad, wengi saa. respect to them.

mr.kamau,mr.thomas mr alex nimewamis sana
 
Hizo list Shule ulizoorodhesha zimeniacha hoi na kunikumbusha mbali kidogo...Hivi ile shule ya MOA ya pale mwenge ilifia wapi?? halafu kuna chuo flani cha kisanii kilikuwa pale Jirani na ofisi za NBAA sijui nacho kilipotelea wapi?? Nadhani walikuja na marketing strategy ya kumalizia mwaka wa mwisho wa masomo yako nchini marekani...Vijana waliwehuka sana na Chuo kile.
 
bwahahahaha huyo tozi wa kinondoni angekaa kimyaaaaa.....

Kama utaona aibu kusema shule uliosoma sitoona ajabu siku babako akifulia au ndugu zako wa bush ukawakana!!!!!m proud kusoma st mary's!na kuwa mkinondoni!!!Yo Yo umesoma biafra au tegeta ya suruali kama za jangwani girls nini?
 
Hizo list Shule ulizoorodhesha zimeniacha hoi na kunikumbusha mbali kidogo...Hivi ile shule ya MOA ya pale mwenge ilifia wapi?? halafu kuna chuo flani cha kisanii kilikuwa pale Jirani na ofisi za NBAA sijui nacho kilipotelea wapi?? Nadhani walikuja na marketing strategy ya kumalizia mwaka wa mwisho wa masomo yako nchini marekani...Vijana waliwehuka sana na Chuo kile.

MOA ilihamia kimara nadhani!!!pale mwenge pia kulikuwa na shule inaitwa cambridge sijui kama ipo!!!Namanga pale msasani pia kulikuwa na ILOS nayo ilikufa!mama lwekatare kakomaa sana na biashara ya shule wengi walichemsha!
 
Watoto wa st mary bana nlikuwa Goigi kwa opposit na skuli yenu nawaona mnavyoruka ukuta kwenye lile li open space,kamau alikuwa jinga sana nliwahi mshuhudia anamfokea mwalimu Bar (connection bar) ati anawaona mnatoroka then hawakamati,wale wakenya na waganda ndio wanawafelisha toka lini mkenya akawa mwl wa kiswahili.
 
Ijumaa kama ya leo utorokaji kwa sana vijana waende bills au kipindi hiko mambo club!!!kuna siku mwanafunzi alianguka na ukuta wa kings tower!
 
Back
Top Bottom