roselyne1
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 1,365
- 93
St.Mary's Mazinde Juu ni mchepuo wa St.Mary's Kifungilo Girls' Secondary School kwani baadhi ya walimu walitoka Kifungilo na kwenda kufundisha Mazinde Juu.Kwa wale wanaomkumbuka Sister Msaki alikuwa Kifungilo na Father Damian alikuwa Magamba Secondary. Hizi shule mbili ni best schools in Tz.Kazi ni msingi wa maendeleo kwa hivi wacha tu wafanye kazi. Tulifanya tulipokuwa Kifungilo ndio maana tupo tulivyo leo.Lol!! Keep it up St.Mary's Mazinde Juu as well as St.Mary's Kifungilo Girls'.
Father Damian alifundisha Magamba???miaka gani??mwenye data embu aseme...mie sijawahi sikia....
na pia kifungilo nayo ni st. naniii?