St. Marry Mazinde Juu iko juu

Ipo mkoa upi? Ada yake vp? Tubandikie mkuu ada tujue kama tunaweza ku afford kwa ajili ya wajukuu wangu.
 
Ipo mkoa upi? Ada yake vp? Tubandikie mkuu ada tujue kama tunaweza ku afford kwa ajili ya wajukuu wangu.

ipo tanga, maeneo ya Mombo kam sijakosea jiografia yangu...
hii shule ni nzuri sana(kama ilivo kwa shule nyingi za kanisa katoliki)
nidhamu ya hali ya juu kwenye academics na xtra caricul. activities
binafsi naifagilia sana hii shule....
 
...naskia kuna kazi za mikono hapo,za kufa mtu...lol

Mazinde juu umayai unauacha kwenu
ukiingia pale haijalishi wewe ni mtoto wa nani
kazi pale ndo nyumbani kwako, zote kwa asilimia kubwa zinafanywa na wanafunzi wenyewe
lakini ni shule nzuri kwa kweli
 
Hii shule balaa, shule dunia nzima na kazi yaani ni ora et labora aka sala na kazi.
Hizi picha nilifikiri ni mamtoni!
 
results!??

CSEE 2009 examination results

S0233 st. Mary's mazinde juu sec. School
div-i = 26 div-ii = 10 div-iii = 6 div-iv = 0 fld = 0

CSEE 2007 EXAMINATION RESULTS
S0233 ST.MARY'S MAZINDE JUU SEC. SCHOOL

DIV-I = 22 DIV-II = 5 DIV-III= 13 DIV-IV = 0 FAIL= 0

CSEE 2008 EXAMINATION RESULTS

S0233 ST.MARY'S MAZINDE JUU SEC. SCHOOL DIV-I = 27 DIV-II = 12 DIV-III = 4 DIV-IV = 1 FLD = 0 ABS = 0

ACSEE 2009 examination results

S0233 st.mary's mazinde juu sec. School

Div-i = 23, div-ii = 25, div-iii = 30, div-iv = 4, fld = 2

ACSEE 2008 EXAMINATION RESULTS

S0233 ST.MARY'S MAZINDE JUU SEC. SCHOOL

DIV-I = 17 DIV-II = 13 DIV-III= 25 DIV-IV = 6 FAIL= 1

ACSEE 2007 EXAMINATION RESULTS

S0233 ST.MARY'S MAZINDE JUU SEC. SCHOOL

DIV-I = 13 DIV-II = 19 DIV-III= 15 DIV-IV = 6 FAIL= 0

ACSEE 2006 EXAMINATION RESULTS

S0233 ST.MARY'S MAZINDE JUU SEC. SCHOOL

DIV-I = 22 DIV-II = 39 DIV-III= 20 DIV-IV = 2 FAIL= 0

ipo tanga, maeneo ya Mombo kam sijakosea jiografia yangu...
hii shule ni nzuri sana(kama ilivo kwa shule nyingi za kanisa katoliki)
nidhamu ya hali ya juu kwenye academics na xtra caricul. activities
binafsi naifagilia sana hii shule....

bht,
Iko Lushoto mkoani Tanga. Huwa wana sera ya kuendeleza watoto a Wilaya ya Lushoto kwahiyo hata "intake" yao huwa wanachukua karibu nusu ya darasa kutoka wilayani Lushoto (kama waombaji wa wilayani humo ni wengi wa kutosha). Matokeo yao ni mazuri japo si sana ukilinganisha na jirani zao wa Kifungilo. Na hii inasababishwa na ile sera yao ya kuchukua watoto wengi toka wilayani humo bila kujali kufaulu kwao kama zilivyo shule zingine.
 
bht, Matokeo yao ni mazuri japo si sana ukilinganisha na jirani zao wa Kifungilo.
S0233 ST. MARY'S MAZINDE JUU SEC. SCHOOL: CSEE2009
DIV-I = 26 DIV-II = 10 DIV-III = 6 DIV-IV = 0 FLD = 0

S0224 KIFUNGILO GIRLS SECONDARY SCHOO:CSEE2009
DIV-I = 46 DIV-II = 27 DIV-III = 15 DIV-IV = 4 FLD = 0

Linganisha mkubwa percentage wise!
<table align="CENTER" bgcolor="LIGHTYELLOW" border="1" cellspacing="2" width="750"> <tbody><tr><td valign="MIDDLE" width="6%">
</td></tr></tbody></table>
 
angalia vibinti Innocent kabisa,Mungu awalinde, vikifika mlimani au vikikua wengi mawazo yao yanabadilika na kuwaza haya

Miss+Tanzania+UK+Reharsels+108.JPG

tena wanakuwa wakali ukiwauliza jamani vipi, 'tunaenda' na wakati, tunataka kuiga,

HIYO PICHA YA kwanza kila mmoja atakubali it is real superb, ya pili tunajiuma uma na kusema tunaenda na wakati! nani katika hao hapo juu ni wife material? mapaja na hayo maungo mengine ni kwa ajili ya mume was never meant for public! was meant for private

Tuwaombee hao ma-binti
 
bht,
Iko Lushoto mkoani Tanga. Huwa wana sera ya kuendeleza watoto a Wilaya ya Lushoto kwahiyo hata "intake" yao huwa wanachukua karibu nusu ya darasa kutoka wilayani Lushoto (kama waombaji wa wilayani humo ni wengi wa kutosha). Matokeo yao ni mazuri japo si sana ukilinganisha na jirani zao wa Kifungilo. Na hii inasababishwa na ile sera yao ya kuchukua watoto wengi toka wilayani humo bila kujali kufaulu kwao kama zilivyo shule zingine.

Dear Mashauri, mpango wao ni mzuri sana ninaufagilia, just imagine kila kata nchi hii wangekuwa na mpango kama huo na kusababisha mashindano!
 
Ipo mkoa upi? Ada yake vp? Tubandikie mkuu ada tujue kama tunaweza ku afford kwa ajili ya wajukuu wangu.

About St. Mary’s Mazinde Juu
St. Mary’s Mazinde Juu Secondary School is a girls’ boarding school in the Usambara Mountains of northeastern Tanzania in East Africa. Owned by the Catholic Diocese of Tanga, and run by local order of sisters, it is affiliated with St. Paul’s Abbey, a Benedictine monastery in Newton, New Jersey. The manager of St. Mary’s is Father Damian Milliken, a Benedictine priest from St. Paul’s who has taught in Tanzania for 40 years.

It’s Mission
Fewer than 5% of Tanzania’s young women receive a secondary education. Without this education, they lack the skills necessary to help lead their families, their communities, and their country to self – sufficiency and economic stability.

History
St. Mary’s opened in 1989 with a group of 40 girls from the local area. Since then, the school has expanded to serve over 250 Students, and has grown from one building to a compound which includes classroom and dormitories, an assembly hall seating 600, as well as physics and chemistry/ biology labs, needlework and cookery rooms, and a 3,500 volume library. All buildings are wire for electricity, with solar lighting units so that students may study even during the frequent power outages.

Academics
Classes are taught in all academic subjects required by the Tanzanian secondary syllabus: civics, Kiswahili (the national language), Geography, History, English, Physics, Chemistry, Biology, Math, Domestic Science (cookery, nutrition, and sewing), and Religion. St. Mary’s employs 20 qualified teachers, and several teaching assistants and support staff.

Work
Students also help on the school farm, which supplies about 80% of the school’s food. The school grows the timber used in construction, and fruit trees to provide cash crops. Students also care for the school’s livestock, and learn ecologically sound and efficient farming methods and anima husbandry.

For further information on St. Mary’s school and the Tanzanian Sisters Project, please contact:
1. Sister Maura Wilson, SSJ
4095 East Avenue
Rochester, New York 14618
(716)586-1000​

Or​

2. Sister Kathleen Milliken, RSM
1437 Blossom Road,
Rochester, New York 14610
(716) 288-2710, ext. 255​

St. Mary’s Mazinde Juu Secondary School, Box 90 Lushoto, Tanzania, East Africa.

Source: http://www.dioceseoftanga.org/offices/education/mazindejuusecschool/index.html
 
Hii shule balaa, shule dunia nzima na kazi yaani ni ora et labora aka sala na kazi.
Hizi picha nilifikiri ni mamtoni!

Kaka umenikumbusha hiyo kitu "ora et labora" manake ndo walikuwa wanatumi huu msemo kule seminary lol
 
angalia vibinti Innocent kabisa,Mungu awalinde, vikifika mlimani au vikikua wengi mawazo yao yanabadilika na kuwaza haya

Miss+Tanzania+UK+Reharsels+108.JPG

tena wanakuwa wakali ukiwauliza jamani vipi, 'tunaenda' na wakati, tunataka kuiga,

HIYO PICHA YA kwanza kila mmoja atakubali it is real superb, ya pili tunajiuma uma na kusema tunaenda na wakati! nani katika hao hapo juu ni wife material? mapaja na hayo maungo mengine ni kwa ajili ya mume was never meant for public! was meant for private

Tuwaombee hao ma-binti

hao wa picha ya chini walianza kama hao wa picha ya juu yao,ila kama kawaida kwenye life kila mtu anachukua njia yake,i hope and pray for those young girls to follow right path
nb:picha ya chini walikuwa contestant miss tz uk..........yes miss tz uk.
 
St.Mary's Mazinde Juu ni mchepuo wa St.Mary's Kifungilo Girls' Secondary School kwani baadhi ya walimu walitoka Kifungilo na kwenda kufundisha Mazinde Juu.

Kwa wale wanaomkumbuka Sister Msaki alikuwa Kifungilo na Father Damian alikuwa Magamba Secondary. Hizi shule mbili ni best schools in Tz.

Kazi ni msingi wa maendeleo kwa hivi wacha tu wafanye kazi. Tulifanya tulipokuwa Kifungilo ndio maana tupo tulivyo leo. Lol!!

Keep it up St. Mary's Mazinde Juu as well as St.Mary's Kifungilo Girls'.
 
Back
Top Bottom