St. Joseph University College of Agricultural Sciences and Technology (SJUCAST), Songea

Kumbe kuna chuo kikuu kingine cha kilimo tofauti na SUA? Vipi KATAVI University of Agriculture na yenyewe imechukua wanafunzi mwaka huu?
 
Kumbe kuna chuo kikuu kingine cha kilimo tofauti na SUA? Vipi KATAVI University of Agriculture na yenyewe imechukua wanafunzi mwaka huu?

Ndio mkuu ila sina info za kutosha kuhusu chuo hiki, Katavi hawakudahili mwaka huu.
 
Ndio mkuu ila sina info za kutosha kuhusu chuo hiki, Katavi hawakudahili mwaka huu.

Mkuu usiwaogopeshe vijana, niko kwenye bevarage industry kwa muda mrefusasa hawa vijana wanahitajika sana especially kwenye viwanda vya bia
 
Chuo nakifahamu ila sijasoma hapo kwa hiyo siwezi kukijua in details
 
Remote chali wangu umetokea wap unajua kkuhusu hii coz ka hujui nyooka mazee ni
:A S-fire1:.

think kabla huja post SAMAHANI SANA REMOTe
 
Last edited by a moderator:
Vipi kuhusu main campus yao (DSM)!? mazingila yakoje na je kwa wavulana kuna hostels kweli? maana kuna bwana mdogo kachaguliwa hapo nahitaji kumjuvya.
 
Back
Top Bottom