St. Joseph St.Joseph. St. Joseph. na unyanyasaji wake

simon41

Member
Apr 25, 2009
99
54
Ni miezi nane toka wanafunzi wa chuo cha St.Joseph wamalize mwaka wa nne lakini mpaka leo hawafanyiwa graduation kwa kisingizio kwamba wanamtaka waziri mkuu Pinda au Jk ndio awe mgeni rasmi na kwa taarifa za ndani zinasema kuwa Pinda amewajibu kuwa atakuwa na nafasi mwezi wa tisa na Jk akawaambia kuwa nafasi atapata nafasi mwakani. Besides that bado kuna baadhi ya wanafunzi hawajapewa nafasi ya kufanya final presentation ya project zao za mwisho kwa sababu wanadaiwa ada na michango mbalimbali. Halafu ni chuo kilicho kuja na kusajiliwa kwa mgongo wa dini.

Mtazamo wangu.
Huu ni ukandamizaji mkubwa kwa sababu mtu atatafutaje kazi muhimu bila kuwa na cheti baadhi ya makampuni hawataki transcripts.Na ina maana hakuna watu wanaoweza kuwa wageni rasmi mpaka hawa politicians,ni uonezi wa hali ya juu.
 
Ni miezi nane toka wanafunzi wa chuo cha St.Joseph wamalize mwaka wa nne lakini mpaka leo hawafanyiwa graduation kwa kisingizio kwamba wanamtaka waziri mkuu Pinda au Jk ndio awe mgeni rasmi na kwa taarifa za ndani zinasema kuwa Pinda amewajibu kuwa atakuwa na nafasi mwezi wa tisa na Jk akawaambia kuwa nafasi atapata nafasi mwakani. Besides that bado kuna baadhi ya wanafunzi hawajapewa nafasi ya kufanya final presentation ya project zao za mwisho kwa sababu wanadaiwa ada na michango mbalimbali. Halafu ni chuo kilicho kuja na kusajiliwa kwa mgongo wa dini.

Mtazamo wangu.
Huu ni ukandamizaji mkubwa kwa sababu mtu atatafutaje kazi muhimu bila kuwa na cheti baadhi ya makampuni hawataki transcripts.Ina maana hakuna watu wengine wanoweza kwa wageni rasmi lazima hawa wanasiasa,hii inakaa vipi kama sio uonevu kwa vijana wa ktanzania na wengi wao wakiwa waliotoka mikoani.
 
Ni miezi nane toka wanafunzi wa chuo cha St.Joseph wamalize mwaka wa nne lakini mpaka leo hawafanyiwa graduation kwa kisingizio kwamba wanamtaka waziri mkuu Pinda au Jk ndio awe mgeni rasmi na kwa taarifa za ndani zinasema kuwa Pinda amewajibu kuwa atakuwa na nafasi mwezi wa tisa na Jk akawaambia kuwa nafasi atapata nafasi mwakani. Besides that bado kuna baadhi ya wanafunzi hawajapewa nafasi ya kufanya final presentation ya project zao za mwisho kwa sababu wanadaiwa ada na michango mbalimbali. Halafu ni chuo kilicho kuja na kusajiliwa kwa mgongo wa dini.Mtazamo wangu.Huu ni ukandamizaji mkubwa kwa sababu mtu atatafutaje kazi muhimu bila kuwa na cheti baadhi ya makampuni hawataki transcripts.Ina maana hakuna watu wengine wanoweza kwa wageni rasmi lazima hawa wanasiasa,hii inakaa vipi kama sio uonevu kwa vijana wa ktanzania na wengi wao wakiwa waliotoka mikoani.
Haya tumekusikia atakuja Tindu Lissu au a loser Dr Slaa, nadhani moyo wako utakuwa mweupe
 
Wahindi wanatujua WaTz ni mambumbu, tena wanashikwa kwa Siasa tu. Pole, kwani nasikia hata chuo chenyewe ni cha kisiasa hakina ubora ki elimu kuanzia udahili wa wanafunzi, walimu wa chee wa kihindi wenye Masters za ku unga unga, mitihani na usahishaji mbovu mpaka majengo na vitendea kazi. Bodi ya mikopo, Nacte, wizara ya elimu washapewa bahasha wako kimya kama hawaoni. Ikipita miaka kumi ndipo tutaamka usingizi na kugundua TUMELIWA !
 
Hivi wewe metumwa na nani kumuita Dk Slaa looser? Ama kweli ukimzidi mtu kwa chochote atakuchukia na kukuita majina yoyote kisa hawezi kukukamata kwa yale uliyomzidi!
 
kwenye graduu sisemi. Ila hao ambao hawajalipa ada unataka wafanye presentation ili iweje? Lipeni ada chuo kiweze kujiendesha! Hata kama ni chuo cha dini/kanisa ndo msilipe ada!
 
WaTz njaa inatumaliza! Chuo kinaendeshwa kihuni huni na wahindi kwasababu tu nacte na tcu wakipewa taarifa yoyote, wanafurahia maana watakuta bahasha zimeshawekwa mezani. Ndio maana mwanafunzi anayelipiwa na Helsb 100pc bado analipa zaidi ya 385000 na hakuna wa kuwatetea! Pole sana ndugu yangu!
 
Wahindi wanatujua WaTz ni mambumbu, tena wanashikwa kwa Siasa tu. Pole, kwani nasikia hata chuo chenyewe ni cha kisiasa hakina ubora ki elimu kuanzia udahili wa wanafunzi, walimu wa chee wa kihindi wenye Masters za ku unga unga, mitihani na usahishaji mbovu mpaka majengo na vitendea kazi. Bodi ya mikopo, Nacte, wizara ya elimu washapewa bahasha wako kimya kama hawaoni. Ikipita miaka kumi ndipo tutaamka usingizi na kugundua TUMELIWA !
Mkuu,hata wale wahindi wa Shirika la reli wanafundisha part-time pale hiyo kali!!!!!
HARE BABA DUNIA GUUNIA TZ CHEE!!!!
 
duu mkuu naona hamna ata mmoja aliejibu malalamiko yako zaidi ya kulinganisha matatizo yako na siasa...ni hayo tu
 
starting with the director Tx yule jamaa ana involvement kwenye dirty business last year alikamatwa na COKE na vijana wa NZOWA wakafikia kumduplicate chowo who knows kilichoendelea
on other hand the total administration ime base kwenye vitisho,corupt &ukandamizaji both kwa wanafunzi and workers
speaking of the administration starting from masista and one nut Russel raj wana lugha chafu who doest know yule director amezaa na mwanafunzi aliyemaliza diploma pale na still anatembea na wanafunzi
However elimu wnayotoa cyo mbaya na wanajitahiei ku-deliver wats needed kuhusu vyeti its truth inachelewesha wanaotaka kuendelea na masters lakini upande wa ajira cyo kweli because wamepewa tranceipt labda there other reasons
kulipa ni lazima since ni mkataba
nilicho wasifu wamejitahidi sana kumintain discipline
swala la rais kutoa vyeti might be true but who cares hata akija diwani as far ana vigezo vya kutoa hiyo degree
 
Umeamua uje na ID mpya
 
Wahindi wanatujua WaTz ni mambumbu, tena wanashikwa kwa Siasa tu. Pole, kwani nasikia hata chuo chenyewe ni cha kisiasa hakina ubora ki elimu kuanzia udahili wa wanafunzi, walimu wa chee wa kihindi wenye Masters za ku unga unga, mitihani na usahishaji mbovu mpaka majengo na vitendea kazi. Bodi ya mikopo, Nacte, wizara ya elimu washapewa bahasha wako kimya kama hawaoni. Ikipita miaka kumi ndipo tutaamka usingizi na kugundua TUMELIWA !

Ninavyojua mie chuo cha Engineering hapa Tanzania sio St Joseph tu.kuna vyuo vingi tu.swali kwa kuyaona hayo yaliyotajwa hapo juu,kwa nini msiache au kuwahamisha chuo wadogo zenu ambao bado wanasoma pale?,badala yake unang'ang'ania kulalamika wakati bado uko hapo hapo?,au umefungwa pingu hapo?
 
starting with the director Tx yule jamaa ana involvement kwenye dirty business last year alikamatwa na COKE na vijana wa NZOWA wakafikia kumduplicate chowo who knows kilichoendelea
on other hand the total administration ime base kwenye vitisho,corupt &ukandamizaji both kwa wanafunzi and workers
speaking of the administration starting from masista and one nut Russel raj wana lugha chafu who doest know yule director amezaa na mwanafunzi aliyemaliza diploma pale na still anatembea na wanafunzi
However elimu wnayotoa cyo mbaya na wanajitahiei ku-deliver wats needed kuhusu vyeti its truth inachelewesha wanaotaka kuendelea na masters lakini upande wa ajira cyo kweli because wamepewa tranceipt labda there other reasons
kulipa ni lazima since ni mkataba
nilicho wasifu wamejitahidi sana kumintain discipline
swala la rais kutoa vyeti might be true but who cares hata akija diwani as far ana vigezo vya kutoa hiyo degree

kwa hiyo huyo mr Tx kwa sasa ana kesi mahakani kwa kosa la kukamatwa na cocain?,mie nafikiri hayo ni maswala personal ya mtu hayana link na chuo
 
starting with,
however elimu wnayotoa cyo mbaya na wanajitahiei ku-deliver wats needed kuhusu vyeti its truth inachelewesha wanaotaka kuendelea na masters lakini upande wa ajira cyo kweli because wamepewa tranceipt labda there other reasons
kulipa ni lazima since ni mkataba
nilicho wasifu wamejitahidi sana kumintain discipline
swala la rais kutoa vyeti might be true but who cares hata akija diwani as far ana vigezo vya kutoa hiyo degree

now you are talking!
 
wale chenga hamna kitu ni vile hatuna wahandisi na mgongo wa dini quality ya elimu pale chini wana admit hata EGM asome engineering,wanaleta usanii
 
Back
Top Bottom