St. Joseph Hosp.Soweto Moshi yaungua

IKHOIKHOI

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
366
41
Wadau nimepata taarifa sasa hv kuwa hosp ya St. Joseph ya kanisa katoliki iliyopo moshi mtaa wa soweto imeungua. Naomba mwenye taarifa zaidi atujuze plse.
 
ulikuwa unakimbilia wapi si ungepata kwanza full data au ulitaka uwe wa kwanza kupost?
 
ulikuwa unakimbilia wapi si ungepata kwanza full data au ulitaka uwe wa kwanza kupost?

Ama kweli jamaa mwingne kaniambia siyo hosp bali ni nyumba iliyopo jirani na hosp ndo imeungua yote. Sorry 4disturbance wakuu
 
Wadau nimepata taarifa sasa hv kuwa hosp ya St. Joseph ya kanisa katoliki iliyopo moshi mtaa wa soweto imeungua. Naomba mwenye taarifa zaidi atujuze plse.
hizi akili zetu watanzania za micharuko na kukuza vitu bila kuwa na taarifa kamili kwa kweli inatia kinyaa...utakuta hapo ni moshi tu umeonekana unatoka ndani ya chumba kimoja lakini mtu anasema hospitali inaungua
 
We ikhoikhoi vipi bana. Sijui we ni lipanya buku au likoikoi kabisa ha aha ha ulikuwa unakimbilia wapi kutustua hapa
 
Tunaomba muwe mnahakiki taarifa zenu. Hapa karibu ningepata ugonjwa wa moyo kwa sababu mtoto wangu anasoma secondary ya Bendel ambayo imepakana kabisa na hospital ya st. Joseph (yaani wanashare ukuta mmoja). Kimsingi shule hiyo na hospital hiyo ni za mission.mwanangu yuko kwenye mitihani ya Form 6, hivyo nilishajua kuwa kuwa kama ni kweli basi tukio hilo litawavuruga sana kwenye mitihani yao.
 
Back
Top Bottom