St. Joseph College of Health and Allied Science

danmarc

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
570
115
Kwa wale waloomba na kuchaguliwa hiki chuo cha St Joseph Boko campus washaanza kujulishwa kupitia namba zao za simu.

Mimi pia nimetaarifa asubuhi hii
 
Iyo college itafunika saaanaa baadae,umejulishwa na nani tcu Au wenyewe,nenda katafute chumba kabisa.
 
We kweli amadoli unafanana kabisa na jina lako,wewe st Joseph na kiu Tangu lini wakafanana Au na wewe muanga wa Arusha?chuo ata akijaanza kuchukua ata wanafunzi mara hii ushakijua we kweli amadoli.
 
Iko chuo hakina tofauti na KIU

Tofauti ipo kubwa.. hii college imeanzishwa special for health sciences kwa hyo wamejipanga bt KIU walikurupuka kupachika health walifikiri ni simple kumanage kama zle course nyingine
 
Naona mkuu NGORUNDE imekukera saana kuchapia we kweli mwalimu mzuri naomba nije twisheni yako pindi Mia.
 
Naomba tuendelee kujuzana hapa kwa wale tulio chaguliwa chuo hiki.....

Nawasilisha........
 
Greetings!
Kindly be informed that registration process at Boko will be done in two weeks starting from 12th October 2015 up to 22nd October 2015. Joining instructions will be sent through your e-mails address from 12th October 2015. Thank you.
(Nimetumiwa na st Joseph hyo)
 
Back
Top Bottom