St joseph college kimenuka

Kitotonya

Senior Member
Dec 9, 2011
188
60
Wanafunzi wa st joseph collage of engineering & information technology wameanzisha mtiti kufuatia kuchelewa kwa mikopo yao. Inasemekana kwamba tayari bodi ya mikopo wamesha toa mikopo kwa wanafunzi wote wa mwaka wa tatu na wa nne. Lakini wanafunzi wamemaliza mwezi toka wafungue chuo. Sasa utawala unategemea wanafunzi wanaishije.
 
poleni sana mainjinia ila zile hela zenu tulizochoma pale mnazi mmoja na taifa siku ya mwisho..kwa hiyo subiri tushatuma kapu la mchango tuone kama itafanika..
 
poleni sana mainjinia ila zile hela zenu tulizochoma pale mnazi mmoja na taifa siku ya mwisho..kwa hiyo subiri tushatuma kapu la mchango tuone kama itafanika..

na Mama Kilintoni ashasema tufanyane kwanza ndo misaada ije.
Huu mwaka huu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom