st.johns university (dar) inatupotezea radha ya chuo

kingo de bwax

Member
Oct 8, 2012
9
0
daah! yaani hiki chuo administration yao mizenguo,hawaeleweki sielewi kama patatosha kwa upande wangu na kwa wengne
 
Wewe huna haki ya kuilalamikia administration ya chuo maana hata wewe hueleweki. Hili ni jukwaa (forum), huwezi kusimama jukwaani halafu ukaanza kujiongelesha mwenyewe. Lazima uhakikishe hadhira inakusikia na kukuelewa. Hapa hujatuambia kwanini unaona administration ni mizenguo na haieleweki. Umeweka malalamiko tu. Hili ndilo tatizo la vijana wetu wengi, hawawezi kujieleza hata kwa lugha wanayotumia kila siku-Kiswahili.
 
we ndo unajua matumiz ya lugha? kwani nilikuomba msaada? hakuna aliyezaliwa anajua ww usijione much know
 
mwaga malalamiko yako tukusaidie au tukatoe ushauri uongozi wa juu. sisi wengine ni wadau wa hicho chuo
 
funguka vizuri watu tukusaidie. humu JF hata hao watawala wa chuo chako wanapitia kwa hiyo uwe muwazi ili wajue tatizo lao na jinsi linavyokathiri.
 
... Facebook generation ni JANGA kwa nchi maskini.

hili jibu na post ya mleta mada huitaji kuuliza zaidi maswali..

tatizo humu hawajui kama kuna wakubwa zao wanaona kila mtu ni mkidi tu ngoja apate msaada kwa wenzie..
 
we ndo unajua matumiz ya lugha? kwani nilikuomba msaada? hakuna aliyezaliwa anajua ww usijione much know

..Basi hukua na haja ya kuanzisha thread, ungandika tu kwenye diary yako. Usione unakashfiwa, ndiyo ukweli wenyewe-ukijua udhaifu wako, unakuwa na nafasi nzuri ya kujirekebisha.
 
we ndo unajua matumiz ya lugha? kwani nilikuomba msaada? hakuna aliyezaliwa anajua ww usijione much know

Sasa kijana wakati unawaza mambo yako usiwe unafungua na browser, maana siku utaandika matusi alafu utasema "kwani nimekutukana wewe"
 
Back
Top Bottom