Mwita25
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 3,831
- 1,164
bangi mbaya sana.... nasikia kule kwenu huwa mnavutia kwenye kibuyu.!!!!!!!!!! sawa jina aliweka kwenye tangazo,ni hiyo kwenye bold wewe inakuhusu nini,kwani yeye alipenda.. jaribu kuwa na busara hata kama bangi zimekuzidia. dawa yako wakutafutie watato wa chang'ombe,kizota,kikuyu au chaduru ili waimalize dharau yako.. wewe kila kitu unakurupukaga tu,iwe siasa,jokes,dini,economics na nyinginezo comments zako ni chuki,upuuzi,pumba kila siku.. aaaarrrrrrrrrrrrrgggggggghhhhhhhh......... unatuuzi sana wana jf!!
Niombe radhi mkuu kwa kuniita mvuta bangi.