St. Francis Mbeya kufungwa baada ya wazawa kushindwa kuiendesha

Inanikumbusha Loyola ,alipokuwepo yule mzungu kabla hajafa ilikuwa niu shule yenye muelekeo saa hizi ndio imekuwa kama shule za kata ,ngoma imeshikwa na mswahili,sijui sisi ngozi nyeusi tuna tatizo gani Grrrrrrrrrrrr

Yaani sijui si waswahili tukoje yaani tuseme tumeshindwa kuendesha mambo kifanisi?
 
Rafiki yangu aliniambia kwamba sheria za Tanzania haziruhusu kushusha mshahara wa mwajiriwa (mimi sijui), kama ndivyo baba Askofu kakosea lakini kama sivyo bado itakuwa shida kwa walimu. Yaani utoke kwenye 2m uende kwenye 0.6m, haiwezekani hata chembe.
Ila nasikia Chengula yeye anachojua ni kupiga magoti tu, wala si mbunifu kama maaskofu wengine (Hata kupandisha ada kidogo itakuwa haijamuingia akilini!!!). Wanasema hata akipelekewa wazo jema la kimaendeleo hawezi kulipa back up. Serikali ingetathmini namna ya kushirikiana na kanisa hili kuwasaidia hawa wanafunzi waliopo wasome na wakati huo huo ada ikipandishwa kwa awamu; maana kuna shule kibao zinazotosa mamilioni ya pesa kama ada, ambazo hazijafika hata asilimi kumi ya ubora wa shule hii. Halafu tusijidanganye, watoto wanaosoma shule hii ni watoto wa wenye pesa bwana, hili wala haliwaumi. Nenda kichwa kichwa uone kama uta afford kusomesha mtoto wako pale.
 
Back
Top Bottom