Ssra

Kitrack

Member
Dec 11, 2011
50
16
Wadau tuliofanya writting interview ya SSRA post za accountant vp michakato inaendaje?au watu tayari wapomzigoni?
 
hapana watu hawapo mzigoni,ila kwa taarifa tu ni kwamba,watu wameitwa kwa ajili ya oral interview inayotarajiwa kufanyika this week,so kama hujapigiwa cm mpaka sasa basi c ridhki.keep on applying
 
Back
Top Bottom