M mpakataji Member Oct 28, 2011 8 0 Oct 28, 2012 #1 kama kuna mtu anauza spea za computer , tafadhali laptop yangu ina tatizo la kioo
G12 Senior Member Aug 31, 2012 156 51 Oct 29, 2012 #2 mpakataji said: kama kuna mtu anauza spea za computer , tafadhali laptop yangu ina tatizo la kioo Click to expand... Una USD 80? Ndani ya wiki moja unapokea mzigo.
mpakataji said: kama kuna mtu anauza spea za computer , tafadhali laptop yangu ina tatizo la kioo Click to expand... Una USD 80? Ndani ya wiki moja unapokea mzigo.