Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
Wakuu wanajamvi naomba msaada wenu, nataka kujiweka fit na program ya SPSS, jaman mweye software and study guide(soft copy) anisadie
Natanguliza shukurani
Natanguliza shukurani
Wakuu wanajamvi naomba msaada wenu, nataka kujiweka fit na program ya SPSS, jaman mweye software and study guide(soft copy) anisadie
Natanguliza shukurani
check with this course
nenda ka-download kwenye hippofile utapata hyo program yko ya SPSS..