Spotted: Eliza wa BBA and her Husband Kelvin

wanawake bwana,huyu dem alikuwaga ana nata,mashauz kibao,mara ooh! I hate black men,ilove whites,ishu ka za kina mange,jamaa kelvin akawaserious at the end aka ngo'a mzigo ule! Hapa nimepata somo

Mkuu ulitaka ajirahisishe kama kina Bhoke? Nampa hongera zake sana huyu dada kwani ndiye mshiriki pekee wa kike kutoka TZ ambaye hajatutia aibu akiwa mjengoni
 
hakuna kitu hapo!!!!keshauziwa mbuzi kwenye gunia!!!!!yeye alee tu!!!

Manaanza maneno ndoa ya watu ivunjike hata kama ameuziwa mbuzi kwenye gunia wewe inakuhusu nini, kitanda hakizai haramu, hii dunia sijui mtu ukajifiche wapi maneno yasikupate.
 
tusubiri pia niece/nephew/ baby kid kutoka kwa Mwisho na Merryl. I love the idea of cross country marriage/family.
 
tusubiri pia niece/nephew/ baby kid kutoka kwa Mwisho na Merryl. I love the idea of cross country marriage/family.

meryl_and_mwisho_copy.jpg
 
Woow! What a cute family! Inatamanisha... itabidi kutafuta handsome mmoja out thr tuanze family kwa kweli maana all gud men are being taken taratiiiibu...
 
Na Somo lenyewe ni Kuwa; ukikomaa hawa dada zetu hata awe nani? Wa wapi? Ana nini ukikomaa kilaiiinii! Hata mke aw Mtu ukikomaa unabeba

Usikariri maisha mkuu, siyo kila pikipiki unayoiona barabarani ni bodaboda.
 
wow! wazuri .....wamependeza.......wana afya na furaha....!

(ila pua ya mtoto mbona haifanani na wazazi!?!?!? au ni macho yangu tuu.....naogopwa kusutwa mie cc Madame B)
 
Last edited by a moderator:
bora anavyokaa huko! hapa wangeshamroga!! niiiiiiice familiy!
 
Back
Top Bottom