Spot the difference...!!!

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Mshindi atapata zawadi ya kwenda kula dinner nami jioni ya leo...Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Original
523302_440094939374782_1132146910_n.jpg



Edited

429914_440094712708138_610833562_n.jpg


Graphics Designed By: Young Master


Copyright © Young Master, 2012. All rights reserved.
 
Last edited by a moderator:
Well, hilo sanamu la mwanzo lenye nguo ya blue hata kwenye kioo pia, kwenye picha ya pili hizo nguo hizo zina rangi nyengine.
 
The obvious ni hayo matoy mawili (la pili na la tatu from left) nguo zimechange from blue to green and pink; lakini the less obvious ni alichonotice madam X kuwa pamoja na kuchange color kwa hizo toys lakini reflection yake kwenye kioo bado inaonesha nguo ni za rangi za blue.
 
so you are daring challenging me in my game? hapo naona nguo tu ila ngoja nizishushe halafu nizipitishe kwenye kichujio ntajua tofauti zooote

No Sir C6 i wont dare challenging you.
 
Last edited by a moderator:
Young Master ukitaka kujua tofauti kati ya izo picha mbili, ziipeleke kwenye pichaduka kisha ziweke kwenye layer mbili , orijino weka layer ya chini then edited layer ya juu,then kujua km kuna changes zozote cheza na opacity kwenye layer ya juu, ivute kutoka 100 ije 0 taratibu utaona changes.... thats it


iyo picha ni kioo, kuna sanamu watatu kwenye reflection wanaonekana wawili na haiwezekani refrection ya kioo rangi zitokee tofauti
 
Last edited by a moderator:
There is more my dear.


kwanza kubadilika kwa rangi ya mavazi ya sanamu la 3 na 4 kutoka kulia.. pia kwenye sanamu la 3 kutoka kulia(lakatikati) orijo yake haikuwa na nakivuli but hiyo edited ina kivuli cha kijani( haswa kwenye upande wa kushoto kwakwe)
hope umenielewa Young Master!!!!
 
kwanza kubadilika kwa rangi ya mavazi ya sanamu la 3 na 4 kutoka kulia.. pia kwenye sanamu la 3 kutoka kulia(lakatikati) orijo yake haikuwa na nakivuli but hiyo edited ina kivuli cha kijani( haswa kwenye upande wa kushoto kwakwe)
hope umenielewa Young Master!!!!

kuna tofauti nyingine???!!!
 
Back
Top Bottom