Sport kizaazaa kulikoni?

GAGL

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
390
395
Kipindi cha sport kizaazaa kinachorushwa na ITV kinapoteza mwelekeo na maudhui yake. Hii inatokana na wachangiaji pamoja na waendesha kipindi kuacha kujadili michezo kwa ujumla na badala yake kujadili football tu tena wahusika wakuu wakiwa simba na yanga. Kama lengo lilikuwa ni kujadili soka, basi jina la kipindi libadilishe, kiitwe Soka Kizaazaa, maana hii inauwa michezo mingine.
 
Back
Top Bottom