Sponsorship - Nelson Mandela

HP1

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
3,362
874
The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM-AIST) inatoa sponsorship kwa wanafunzi wake wa Masters na PhD.

Kuna mdau yeyote anayejua kama orodha ya wanafunzi wa mwaka huu watakaonufaika imetoka? Au umeshaandikiwa official letter kama umefanikiwa?

Natanguliza shukrani
 
Mkuu hata mimi nasubiria hiyo kitu, naona kimya sana hadi nahs ndo basi tena.
Tumuombe Mungu atusaidie tupate!!!
 
Mkuu hata mimi nasubiria hiyo kitu, naona kimya sana hadi nahs ndo basi tena.
Tumuombe Mungu atusaidie tupate!!!

Mwaka jana walitoa ikiwa zimebakia wiki mbili kabla ya kufungua chuo
 
ila nackia mwaka huu kn siasa zimeingilia kati hpo,wazee wa wizaran nao wanazitolea macho hzo hela hadi Dvc kawaacha awaone nani ataenda kusoma bila hlo fungu!
pia nackia bb mwanaasha ana tour hpo chuon kbl y trh 10 sa lbd wanamngoja ili aje atangaze yy!
nami nangoj wakuu,any update pls mnijuze!
 
Kozi zote za pale ni ICT tu? Wengine kama sisi we love what others take it to be of no use....tunasoma kuchanganya matope
 
i am not sure na hiki chuo inaonekana kama cha mtu binafsi..hivi kwanini hakiwi questioned? kwa kuanzia watueleze zile interviews Dec 2011 iliishia vipi? haiwezekani kodi zetu zipelekwe huku kinyemela wakati tume ya ajira ipo. hawa watwana inaonekana hawana sense of accountability.
 
Hatimaye leo wametoa scholarships wadau
 
Back
Top Bottom