engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
Nyie wanawake wa posta mna mamatatizo sana, dawa yenu matapeli wa mapenzi tu
hahahahaha,kila kitu bureeeeeeeeeeeeeeeeeee ama?
Nyie wanawake wa posta mna mamatatizo sana, dawa yenu matapeli wa mapenzi tu
Bila shaka sasa watashiriki vizuri kwenye misiba kama alivyodai Shibuda!
At least presha imeshuka huyu Kashililah alinichanganya sana.....nilikuwa najiuliza nitaiambia nini nyumba ndogo niliyokwisha i-promise.
Yaani nchi hii kila mmoja anaesema lake angalia swala la kenya kuwashambulia Al-shabaab Kikwete kawaunga mkono Kenya waziri wake Membe anawalaani.....kuhusu kulipwa Dowans Waziri alisema tunawalipa baada ya siku chache raisi akagoma...haya ya bunge katibu anasema posho haijaongezwa spika anasema imeongezwa....yaani hii serikali ni masaburi fulllllllllllllllll
Ufisadi uliotukuka. Mtazame mtu kama Wassira; kazi yake kulala bungeni pesa yote hii ya nini?200,000*wabunge 400 kwa siku mara siku 30 za kikao cha bunge ni bilion 2.4
hebu oneni dhambi hii
Sasa huyo boya wao alikuwa anakataa nini?Akiongea na waandishi wa habari leo spika amesema wameongeza posho kutoka 70,000 hadi laki 2 kwa siku.