BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,011
Sarakasi za Sitta zinatatiza kwelikweli. Kwa nini kauli zake za Agosti 2007 wakati wa sakata la Buzwagi zilikuwa tofauti na hizi anazotoa leo!
Amesoma alama za nyakati na kugundua kwamba Watanzania wamechoshwa kudanganywa na viongozi waongo, mafisadi, wenye uroho wa utajiri wa haraka haraka na walioweka mbele maslahi yao badala ya yale ya nchi. Hivyo ameamua kujiunga na upande ambao unazidi kupata nguvu kila kukicha.
Alutta Continua!