Spika: Sipendi wabunge wanaposinzia

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
988
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/161403-picha-za-wanaosinzia-bungeni.html
Mbona haja wakemea wanao sinzia bungeni na kuchafua ukumbi....

Pitia habari hii ambayao nimei-scan kwenye gazeti la MTANZANIA la leo kwamba Spika Makinda hapendi wanaosinzia bungeni.

Nadhani thread kama ile niliyoanzia hapa chini zinasikilizwa. Click here or read below.

Wakuu JF,
Nadhani kazi yetu nzuri tusiifanye ikapote na kusahaulika. Ndani ya mwezi mmoja tumeona a kujadili picha zaidi ya tano za bungeni za watu wamelala na zingine zaidi ya nusu ya wabunge wakiwa hawamo.
Nina wazo ambalo sijajua mtalipokeaje.
Ninasema kwamba MODs waanzishe jukwaa rasmi likiwa na jina kama vile MATUKIO BUNGENI ili picha zote za wasinziaji ziwekwe huko. Kuna watu hawakupata lile gazeti la Waziri Wasira akiuchapa usingizi. Sanasana mwenzetu mmoja ameifanya picha ile kama Avatar yake.
Hivyo mtu akijua kuwa akija JF atapa picha zote za wasinziaji, basi hatakuwa na wasiwasi. Kwani mwingine hata thread hataki kuzisoma, anataka ushahidi wa kuona kama ni kweli mheshimiwa mmoja aliuchapa usingizi hadi anafukuza mbu kama alivyosema Mh. Kafulila jana!
Nawasilisha
 
Sorry nilisahau attachment.
 

Attachments

  • Makinda-01.JPG
    Makinda-01.JPG
    219.4 KB · Views: 59
kwa nini anasiwanyime posho ya makalio kama mtu amelala inakuwaje analipwa?
wao wangekuwa na mahouse gal/ boy wanao lala lala wangewalipa?
 
Back
Top Bottom