Spika Makinda Press Conference Live!.

kambonda Sitta kwa matumizi mabaya ya fedha na kurefusha mijadala kama ule wa richmond unnecesarily, amesema bunge lake, atahitaji mijadala kama richmond mingine kumi, sio ule mmoja tuu wa richmond.

jamni mnaona kifaa hiki? namuamini sana huyu mama. acheni unafiki, nani hakukereka na mijadala kurefushwa unnecesarily na mwishoni kuisha kisanii kama wa
1. richmond
2. Mengi na malima (ulitagfuna milion 100 unecessarily!)
3. mkapa na kiwira
3. nk.
at least huyu mama namuamini, hataruhusu upumbavu kama ule! hakika ukombozi wa fedha za wananchi umeingia bungeni!
 
Amesisitiza hajawekwa na mtu, hamtumikii mtu na hawezi kuondolewa na mtu, ametangaza 2015 hagombei Ubunge, anastaaafu.
Press Conference imeisha, anaelekea bungeni sasa.

jamani mmeona ukomavu wa kisiasa hapo? 6 alipaswa kuwa amestaafu siku nyingi, kang'ang'ania weeeeee, matokeo yake kutoswa kwa aibu!!
 
Amesisitiza hajawekwa na mtu, hamtumikii mtu na hawezi kuondolewa na mtu, ametangaza 2015 hagombei Ubunge, anastaaafu.
Press Conference imeisha, anaelekea bungeni sasa.

atakuwa ametumwa kwenda kufanya kitu kibaya, nimeanza kujawa na wasiwasi
 
kambonda Sitta kwa matumizi mabaya ya fedha na kurefusha mijadala kama ule wa richmond unnecesarily, amesema bunge lake, atahitaji mijadala kama richmond mingine kumi, sio ule mmoja tuu wa richmond.

.... Kama hakuna issue ya kuifanya kumi ..ataikota wapi? Ata force ...? Ili kumprove wrong Sita?

....Hii katumwa!

Ukweli ni kuwa Ilikuwa lazima kuurefusha ule wa RMond ..kwa sababu there was a need..i. nfacat wala haukuisha..
..na kwa wakati ule hakukuwa na issue nyingine ambayo six angeweza kupelekea kufanya Rmonds kumi...

....Dear Anneeee ..what z up!!
 
jamni mnaona kifaa hiki? namuamini sana huyu mama. acheni unafiki, nani hakukereka na mijadala kurefushwa unnecesarily na mwishoni kuisha kisanii kama wa
1. richmond
2. Mengi na malima (ulitagfuna milion 100 unecessarily!)
3. mkapa na kiwira
3. nk.
at least huyu mama namuamini, hataruhusu upumbavu kama ule! hakika ukombozi wa fedha za wananchi umeingia bungeni!

Aisee, wewe ni yule pacha wake au anna abdallah?
 
Amewaponda wapinzani kuwa bado ni laini, anataka wapinzani wawe makini. Kama kuna hoja za ukweli ziwe za ukweli sio waje na hoja laini laini wakipigwa chini ndio wanalia lia. Amewataka wapinzani kujenga nguvu za hoja na sio hoja za nguvu.

Jamani Kikao cha Bunge hakijaanza Mama Spika ameshafika uamuzi (reach conclusion) ya kuwa wapinzani ni laini, na wanaleta hoja za uongo. Inaonekana ya kuwa huyu mama tayari ana pre-conceived notion kuhusu wapinzani na hawezi kuwa fair.
 
Time will tell,
whether we are heading into hell or heaven,
What is troubling my heart and mind is by the time we realise "where" we are it will be too late for ourselves and our generations to come.
It so sad
To live in this times of uncertainity.
 
Amesisitiza hajawekwa na mtu, hamtumikii mtu na hawezi kuondolewa na mtu, ametangaza 2015 hagombei Ubunge, anastaaafu.
Press Conference imeisha, anaelekea bungeni sasa.

Slowly madam speaker, thats a misdirection read Article 84 (7) of the constitution

Spika atakoma kuwa Spika na ataacha kiti cha Spika litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo–

(a) iwapo mtu huyo alichaguliwa kutoka miongoni mwa Wabunge, basi ikiwa
atakoma kuwa Mbunge kwa sababu yoyote ambayo haihusiki na kuvunjwa
Bunge; au
(b) ikiwa kutatokea jambo lolote ambalo, kama asingekuwa Spika
lingemfanya mtu huyo asiwe na sifa za uchaguzi au apoteze sifa za
uchaguzi wa Spika; au
(c) Bunge litakapokutana kwa mara ya kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu
uliofanywa baada ya Bunge kuvunjwa, lakini masharti ya aya hii yatatumika
bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya (4) ya ibara ya 90 ya Katiba hii;
au
(d) ikiwa mtu huyo ataondolewa kwenye madaraka ya Spika kwa azimio la
Bunge lilioungwa mkono na Wabunge ambao idadi yao haipungui theluthi
mbili ya Wabunge wote; au
(e) ikiwa mtu huyo atashindwa kuwasilisha kwa Rais tamko rasmi kwa mujibu
wa masharti ya ibara ndogo ya (3) ya ibara hii; au
(f) ikiwa mtu huyo atapatikana na hatia kwa kosa la kutoa habari za uongo,
kwa kiapo kinyume cha sheria ya Kanuni ya Jinai, kuhusu tamko rasmi
lolote lililotolewa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (3) ya ibara
hii; au
(g) ikiwa mtu huyo huyo atashindwa kuwasilisha kwa Rais taarifa ya mali kwa
mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (5) ya ibara hii kabla ya kumalizika
muda uliowekwa kwa ajili hiyo kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge;
(h) ikiwa itathibitika kuwa mtu huyo amevunja masharti ya Sheria ya Maadili
ya Viongozi wa Umma.
 
Amesisitiza hajawekwa na mtu, hamtumikii mtu na hawezi kuondolewa na mtu, ametangaza 2015 hagombei Ubunge, anastaaafu.
Press Conference imeisha, anaelekea bungeni sasa.

Hata Msekwa alidai angeng'atuka 2005.
 
Nimeseama tena,

wanawake kama huyu ...anahitaji kukutana na wanaume with full respect, character, bold, meaning bussiness, no deal..daling..issues.., no berging.. just working with meaning and nobility!!

Kigongo kigongo... with full love no abuse..Just love and treatment.....Ananyokaaaaaa...!!

Anajisikia kakutana na Mwanaume.. na sio fisadi wa kiume mwenye tabia za kike kama zake!!!
 
Mkuu hata wakiongezewa idadi yao haiwazidi ya CHADEMA

CUF+NCCR+TLP+UDP=32+4+1+1=38

CHADEMA peke yao wako 45, kwa hiyo NO way huo Muungano mwingine utaweza kuchukua power, labda sheria zifinyangwe finyangwe

Nami nashangaa kama kweli hili ni jambo la kujadili. Sheria inakitaja chama na siyo muungano wa vyama. Hata kama hao wengine wataungana, hiyo haitatambulika. Tunataka chama chenye viti vingi bungeni. FINITO.
 
vipaumbele vya Makinda.
1.huduma bora za wabunge.
2.value for money
3. Capacity building kwa wabunge.

Ama kweli kazi ipo. Baada ya bunge la speed and standard sasa ni bunge la kuboresha huduma za wabunge.
 
huyu mama ni mmoja wa watu walioua mashirika mengi ya umma miaka ya 70 hadi 80

HAFAI

Na kweli hebu atuambie ni wapi anaweza kujivuna kuonyesha mafanikio ktk utendaji wake. Ingawa wa aina hiyo toka CCM ni wachache kupindukia.

Hayo pia ni mapungufu ya Sitta. Zaidi ya kiwewe chetu na Richmond, Kote nyuma alivuruga tu!
-Akiwa Waziri wa sheria ndo alishauri mambo ya OIC na Z'Bar.
-Akiwa CDA ndo ufisadi ulidumu.
-amekuwa Bungeni ndo mishahara imekuwa mikubwa bila sababu. mara vimada, mara wabunge kuwa na mfuko wa matibabu yao nje ya nchi bila hata kupitia hazina.
aliposhambuliwa akajikinga kwa kuonyesha uzalendo.
 
kambonda Sitta kwa matumizi mabaya ya fedha na kurefusha mijadala kama ule wa richmond unnecesarily, amesema bunge lake, atahitaji mijadala kama richmond mingine kumi, sio ule mmoja tuu wa richmond.

Duh! Leo na leo anaanza kumponda mwenzake!!
Pamoja na kuwa Sitta ana madhaifu yake lkn kwa kiasi fulani aliruhusu uwazi wa kujieleza kwa wabunge ukilinganisha na Msekwa. Pia huyu mama perfomance yake itapimwa kulinganisha na ile ya Sitta. Kwa maana hiyo kumponda kwenye first press sidhani kama ni sahihi sana
 
Value for money::: Capacity building kwa wabunge ::: Huduma bora za wabunge

Labda nikanywe pombe ndiyo nitaweza kutofautisha hivyo vipaumbele vya Madame Spika!

Najaribu kutafuta uhusiano wa "vipaumbele" na "matakwa ya Watanzania"! sioni:doh:
 
Nakubaliana kabisa si vema kumtukana huyu mama bila sababu yeyote ya msingi, tusubiri tuone atawafanyia nini watz kupitia bunge lao tukufu then tuwe na hoja za kusema
 
vipaumbele vya Makinda.
1.huduma bora za wabunge.
2.value for money
3. Capacity building kwa wabunge.

Siamini maneno ya watu wa CCM hata mara moja!

Lakini kama ataweza kuwatia adabu hawa MP ili wafanye kazi kiheshimiwa, hiyo itakuwa furaha yangu kubwa. Mambo ya kulipwa mamilioni halafu wanaamua kutoingia bungeni, kila wakati viti viko wazi! BULL SHIT!
 
Back
Top Bottom