Spika Makinda hana subira?

nakyoganzala

Member
Jul 15, 2012
6
0
:spy::spy:Kwa kweli spika wa tanzania amezidi kudakiadakia wakati wabunge wanatoa michango yao haoni kama ana jishushia heshima? Hana washauri wa kumweleza wadhifa huo ni mkubwa na unahitaji mtu mwenye kifua na mvumilivu. Pia ajue anaongoza watu na heshima zao awakosoe kwa makini na kama anaongea na viongozi waliochaguliwa na wananchi naakili zao......................................................... tabia hiyo ikomeeeeeee:spy::spy:
 
Hana hiyo unayoiita heshima, ndio maana dhana ya kuilinda haipo. anapayuka payuka hovyo, lazima achomekee vimaneno yaani lipo lipo lile Nungayembe! Wenzake wazuri wazuri wameolewa lenyewe limebakia na gere! Akiongea mwanamke kwanini ameolewa!!!!, akiongea wa kiume kwanini hakunioa mimi!!!!
Yaani limechanganyikiwa ile mbaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom