Spika Makinda hakumtendea haki mh.Halima Mdee.

Hakuna dhuluma isiyo na mwisho, na kila apandacho mtu ndicho atakachovuna. CCM wamepigwa upofu, hawaoni kwamba hivi karibuni wanaenda kuwa chama cha upinzani na huenda wakalazimika kukalio moto ule ule waliouwasha. Nimefuatilia sana bunge hili yaani upendeleo ni wa wazi kabisa.
 
Mmekuwa vipofu wakaskazini.

Ngeleja ameifananisha bajeti ya upinzani na bajeti ya harusi, Halima mdee amemtuhumu ngeleja kwa jina lake kwa tuhuma ambazo hazina ushahidi. Sasa mbona ipo wazi kabisa hapo halima (anayehusishwa na tuhuma chafu dhidi ya .... wenzie) kakosea? Ngereja hajamtaja mtu pale mbona?

Wewe bana nenda zako huko kachome makanisa manake ndilo unaloliweza na akili yako yote imeishia hapo......asiyekujua kama wewe ni kilaza ni nani?
 
Dawa ni kwa wapinzani kurejesha lusinde kwa lusinde, wakiambiwa wafute kauli zao wazifute, watakuwa na wao wameshawalusinde halafu wanaendelea na kuchangia - Kudadaaadeeeik!
 
Rotten party.
Rotten leaders.
Rotten system.
Weak president.
Hapo red hapo.....weak president kateua weak mawaziri, weak wakuu wa mikoa na wilaya, weak spika na naibu wake nk nk nk.... yaani ni vipofu wanaongozana wenyewe kwa wenyewe!
 
Dawa ni kwa wapinzani kurejesha lusinde kwa lusinde, wakiambiwa wafute kauli zao wazifute, watakuwa na wao wameshawalusinde halafu wanaendelea na kuchangia - Kudadaaadeeeik!

Kama alivyofanya Mdee na Mnyika......wanapewa ukweli wao afu vile walivyo dhaifu mwili, akili na roho zao lazima wakimbilie kusema kauli ifutwe......inafutwa lakini msg sent and delivered!.....ukishamjulia dhaifu wala hakupi shida.
 
hv na wewe unaingiaga jukwaa hili,dah nilifikiri all time ni mmu tu,karibu tuikomboe nchi Dhaifu inayongozwa kidhaifu na serikali dhaifu yenye viongozi dhaifu.
 
Kama alivyofanya Mdee na Mnyika......wanapewa ukweli wao afu vile walivyo dhaifu mwili, akili na roho zao lazima wakimbilie kusema kauli ifutwe......inafutwa lakini msg sent and delivered!.....ukishamjulia dhaifu wala hakupi shida.
Ndio hivyo ninavyoonaunampa vidonge halafu kwa utiifu mkubwa, Mheshimiwa Mkubwa sana Dokta, Professor Bwana so and so, samahani nafutakauli kauli yangu - message sent -.
 
Mmekuwa vipofu wakaskazini.

Ngeleja ameifananisha bajeti ya upinzani na bajeti ya harusi, Halima mdee amemtuhumu ngeleja kwa jina lake kwa tuhuma ambazo hazina ushahidi. Sasa mbona ipo wazi kabisa hapo halima (anayehusishwa na tuhuma chafu dhidi ya .... wenzie) kakosea? Ngereja hajamtaja mtu pale mbona?

labda kama wewe unakuwepo anvyo fanya na ndio unaye peleka wateja kwake.

Hutofautiani sana na hana makinda,

vip makanisa ya kuchoma yamekwisha ndugu uamsho?
 
Uganga mwingine mashariti yake magumu sana. Yule dada anayeongoza bunge huenda aliambiwa na mganga akitaka afanikiwe katika siasa, asiolewe mpaka atakapokuwa rais. Ndiyo hivyo tena.
 
Wanaendesha hii nchi kiushabiki na kusahau maslahi ya wananchi bunge limegeuka big brother hata Africa Mashariki wanapofuatilia vipindi vyetu vya bunge hawaamini kama wabunge(baadhi)wako serious kulinda na kutetea maslahi ya taifa ni aibu tupu,rubbish
 
Mmekuwa vipofu wakaskazini.

Ngeleja ameifananisha bajeti ya upinzani na bajeti ya harusi, Halima mdee amemtuhumu ngeleja kwa jina lake kwa tuhuma ambazo hazina ushahidi. Sasa mbona ipo wazi kabisa hapo halima (anayehusishwa na tuhuma chafu dhidi ya .... wenzie) kakosea? Ngereja hajamtaja mtu pale mbona?

Tume ya katiba hata mimi nimezisikia hizi tuhuma toka kwa mwanachama mmoja wa CDM, ila bado nazifuatilia. Nitakujuza nikizithibitisha.
 
Tushawazoea magamba waache wafurukute ndo chance walionayo.,kama bajet ya chadema ni km ya harusi,iyo aliopewa Ngeleja akiwa waziri alifanyia nin km co send off.,hana jipya..
 
Wanaendesha hii nchi kiushabiki na kusahau maslahi ya wananchi bunge limegeuka big brother hata Africa Mashariki wanapofuatilia vipindi vyetu vya bunge hawaamini kama wabunge(baadhi)wako serious kulinda na kutetea maslahi ya taifa ni aibu tupu,rubbish
 
cdm naam wajibu mapigo kila wanapata nafasi ya kuchangia. Issue ya kufuta kauli iliyokwisha toka na wahusika wakaipata isnt a problem as the message is delivered
 
Tuko,
i liked the way you have put it. Naomba uongezi beti Kama mbili hivi tutumie Ustashi aandike Shairi ajipatie fedha . Baada ya kweli kwa Zitto kufanya apoteze mkono na baadae Magamba wakamtosa alikuwa Bingwa mipasho . Kama mmesahau ni mmiliki wa Nchinga Sound : Mudhihiri.
 
Back
Top Bottom