Spika Makinda hakumtendea haki mh.Halima Mdee.

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Kwa wale waliofuatilia mjadala wa leo asubuhi bungeni, bila shaka wataungana nami kusema spika hakutenda haki ktk uamuzi alioutoa.

Kilichotokea ni kwamba mh. Ngeleja alitoa maneno ya kuudhi au kejeli alipokuwa akichangia na alitamka kwa kejeli kwa kuifananisha bajeti mbadala ya kambi ya upinzani na bajeti ya maandalizi ya harusi.Baada ya matamshi hayo na katika hali ya kushangaza mh.spika alimuacha aendelee kuchangia bila kumkatisha kwa maana ya kumtaka afute kauli yake kitu ambacho hakikuwa sahihi.Cha ajabu ni pale mh.Mdee aliposimama na kutoa taarifa kusahihisha upotoshaji wa Ngeleja na yeye bila shaka kwa kutaka kulipiza kisasi akaamua kumkejeli Ngeleja kwa kusema inaonekana Ngeleja ana uchungu wa kukosa uwaziri.

Ghafla spika baada ya kauli hiyo ya mh Mdee akasimama na kumtaka afute kauli yake hiyo akidai kuwa kama hiyo ndio hoja bora asiendele kuchangia.Baada ya kauli hiyo ya mh spika, mh Mdee alikubali kufuta maneno yake.Sasa huu kama sio upendeleo au kutokutenda haki tusemeje?Mbona mh.Ngeleja alipotamka kuwa bajeti ya upinzani ni kama bajeti ya maandalizi ya harusi hakumtaka afute kauli yake!

Kwa kifupi spika,naibu wake na wenyeviti wa bunge hawatendi haki na kamwe wasitarajie kuwa bunge litakuwa na nidhamu kama mambo yataachwa yaendelee kama yalivyo.

Simamieni haki na usawa kwanza kabla ya kudai nidhamu ya wabunge mnaowaongoza.Vinginenyo ipo siku ngumi zitaibuka humo bungeni.
 
Kwa wale waliofuatilia mjadala wa leo asubuhi bungeni, bila shaka wataungana nami kusema spika hakutenda haki ktk uamuzi alioutoa.
Kilichotokea ni kwamba mh. Ngeleja alitoa maneno ya kuudhi au kejeli alipokuwa akichangia na alitamka kwa kejeli kwa kuifananisha bajeti mbadala ya kambi ya upinzani na bajeti ya maandalizi ya harusi.Baada ya matamshi hayo na katika hali ya kushangaza mh.spika alimuacha aendelee kuchangia bila kumkatisha kwa maana ya kumtaka afute kauli yake kitu ambacho hakikuwa sahihi.Cha ajabu ni pale mh.Mdee aliposimama na kutoa taarifa kusahihisha upotoshaji wa Ngeleja na yeye bila shaka kwa kutaka kulipiza kisasi akaamua kumkejeli Ngeleja kwa kusema inaonekana Ngeleja ana uchungu wa kukosa uwaziri.Ghafla spika baada ya kauli hiyo ya mh Mdee akasimama na kumtaka afute kauli yake hiyo akidai kuwa kama hiyo ndio hoja bora asiendele kuchangia.Baada ya kauli hiyo ya mh spika, mh Mdee alikubali kufuta maneno yake.Sasa huu kama sio upendeleo au kutokutenda haki tusemeje?Mbona mh.Ngeleja alipotamka kuwa bajeti ya upinzani ni kama bajeti ya maandalizi ya harusi hakumtaka afute kauli yake!
Kwa kifupi spika,naibu wake na wenyeviti wa bunge hawatendi haki na kamwe wasitarajie kuwa bunge litakuwa na nidhamu kama mambo yataachwa yaendelee kama yalivyo.
Simamieni haki kwanza kabla ya kudai nidhamu ya wabunge mnaowaongoza.Vinginenyo ipo siku ngumi zitaibuka humo bungeni.

Mkuu wewe ndiyo unagundua leo kwamba mle hakuna kitu ? Wale wana usongo sana ila wamekatwa pabaya .Baada ya hapo Pipoz pawa wanakuja mtaani na santuri hiyo hiyo utasikia kilio chake .
 
Msusieni basi bunge lake, si mmezowea kususa. Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Mmekuwa vipofu wakaskazini.

Ngeleja ameifananisha bajeti ya upinzani na bajeti ya harusi, Halima mdee amemtuhumu ngeleja kwa jina lake kwa tuhuma ambazo hazina ushahidi. Sasa mbona ipo wazi kabisa hapo halima (anayehusishwa na tuhuma chafu dhidi ya .... wenzie) kakosea? Ngereja hajamtaja mtu pale mbona?
 
Kwa jinsi wanavyoendesha mambo kwa upendeleo wa wazi, kuna wakati ninatamani ningeweza kwa namna fulani kuwaadibisha Makinda na Ndugai kwa kuwachapa viboko kama enzi zile za kuwachapa watoto wa shule za msingi.
 
Makinda ndiye anayesabisha vurugu zote zinazotokea bungeni pamoja na lukuvi wake. CCM kutukana ruksa lakini wapinzani wakijibu mapigo wanakimbilia kuomba mwongozo wa spika. Wote tumeshuhudia jinsi wakinalusinde, mwigulu, komba a.k.a presha inapanda presha inashuka walivyoachwa na spika kutukana wabunge wa CDM kama wapendavyo lakini mnyika alivyojibu mapigo akatolewa nje ya ukumbi wa bunge. Hii kwa kweli inakera sana. Natamani enzi za spika sita lakini huu makinda bunge limemshinda kabisa kwa sababu ya ushabki wake wa kisiasa. Spika anapaswa kuwa neutral lakini kwa makinda imeshindikana.
Kwa wale waliofuatilia mjadala wa leo asubuhi bungeni, bila shaka wataungana nami kusema spika hakutenda haki ktk uamuzi alioutoa.
Kilichotokea ni kwamba mh. Ngeleja alitoa maneno ya kuudhi au kejeli alipokuwa akichangia na alitamka kwa kejeli kwa kuifananisha bajeti mbadala ya kambi ya upinzani na bajeti ya maandalizi ya harusi.Baada ya matamshi hayo na katika hali ya kushangaza mh.spika alimuacha aendelee kuchangia bila kumkatisha kwa maana ya kumtaka afute kauli yake kitu ambacho hakikuwa sahihi.Cha ajabu ni pale mh.Mdee aliposimama na kutoa taarifa kusahihisha upotoshaji wa Ngeleja na yeye bila shaka kwa kutaka kulipiza kisasi akaamua kumkejeli Ngeleja kwa kusema inaonekana Ngeleja ana uchungu wa kukosa uwaziri.Ghafla spika baada ya kauli hiyo ya mh Mdee akasimama na kumtaka afute kauli yake hiyo akidai kuwa kama hiyo ndio hoja bora asiendele kuchangia.Baada ya kauli hiyo ya mh spika, mh Mdee alikubali kufuta maneno yake.Sasa huu kama sio upendeleo au kutokutenda haki tusemeje?Mbona mh.Ngeleja alipotamka kuwa bajeti ya upinzani ni kama bajeti ya maandalizi ya harusi hakumtaka afute kauli yake!
Kwa kifupi spika,naibu wake na wenyeviti wa bunge hawatendi haki na kamwe wasitarajie kuwa bunge litakuwa na nidhamu kama mambo yataachwa yaendelee kama yalivyo.
Simamieni haki kwanza kabla ya kudai nidhamu ya wabunge mnaowaongoza.Vinginenyo ipo siku ngumi zitaibuka humo bungeni.
 
Kauli ya mnyika bado inamashiko maana mwenendo wa hili bunge linaloongozwa na weak spika kutoka weak political party kinachoongozwa na weak leader, wabunge wake wameendelea kutetewa kwa kutoa hoja ambazo ni weak na ambozo zinathibitisha kauli ya mnyika. Sindani kama nitakuwa nimemtukana mtu hapa kwa sababu nimetumia neno WEAK badala ya dhaifu, neno WEAK kwa watu dhaifu huchukulia kama sifa. Hongereni sana.
 
Kama Makinda (pse msitafsiri jina lake)hakumwelewa Mbowe alichosema alipokuwa anachangia leo kwenye budget kuhusu maamuzi ya kiti kwa usawa basi yeye ni dhaifu na hatumii akili
 
unajua nilishangaa sana kwa nini Ghadafi walimtia vijiti kwenye naniliiii...sasa kwa matenda haya ndo naona wazi kabisa sababu za watu kufanya vile
 
Msameheni maana hajui atendalo.

Kwa vile hicho kiti cha spika si alipewa na hawakuangalia uwezo wake ndo maana! Hii ya kusema kuwabeba wanawake kwa haki sawa na hii itakuja kutucost kwani tunakuwa hatuangalii uwezo wa mtu bora tu awe mwanamke hata viti maalum yafaa viondolewe!
 
Back
Top Bottom