Spika Makinda ampiga Stop Stephen Ngonyani kumshambulia Dr Ulimboka

Han shukrani kwa madaktari huyu.. ajiulize nani alimponya baada ya ajali kama ni tunguli zake then aanze kumnyooshea kidole Ulimboka
 
Mbunge wa Korogwe-CCM Stephen Ngonyani(Profesa Maji Marefu) amemshambulia vikali Dr Stephen Ulimboka kwamba alistahili unyama aliofanyiwa na kuwataka madaktari wasimtibu.Spika Makinda ilibidi aingilie kati na kumuamuru Ngonyani kuacha mara moja kuzungumzia suala hilo ndani ya bunge kwa sababu liko mahakamani.Ngonyani akajitetea kuwa amechanganyikiwa kwa sababu aliumwa sana na watu wakamzushia kifo.Kabla ya kuwa Mbunge Ngonyani amewahi kuwa mganga wa kienyeji.Kauli hiyo ya Ngonyani ilionekana kushangiliwa sana na wabunge wenzake wa CCM huku wale wa CHADEMA wakimzomea.

Kwanza tuangalie sifa za Mbunge huyu aliyeropoka uharo huu:

  1. Darasa la 7.
  2. Mganga wa Kienyeji.
  3. Mwanachama wa CCM.

Huyu juha,kichaa na mwendawazimu alitakiwa atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge immediately!
Inakuwaje Waziri Mkuu alionyesha angalao maskitiko ya kinafiki kwamba hata yeye hakutarajia yale yaliyompata Dr.Ulimboka halafu kichaa mmoja tu Bungeni ambaye hata hana sifa za kuwa Mbunge aongee ujinga wake halafu kiti cha Spika kisichukue hatua?? Kwanini hakuambia afute hiyo KAULI ya kipuuzi kwa vile ilikuwa inachochea hasira miongoni mwa Wananchi mbali na kuwa hilo swala liko Mahakamani?

Hawa ndiyo aina ya Wabunge wa Chama Twawala CCM tulionao. They'll never dare think out of the box,they are just fools,rotten and corrupted to the core!.

To hell with all CCM MPs.

Kama kiongozi wa kamati ya uchawi ya CCM, lazima aseme hivyo, na alichosema ndio dhamira ya wanaccm wote. Tumuombee Dr. maana jamaa ataenda na nguvu za giza kumdhuru. Ashindwe ktk jina la Yesu.
 
Huyu mchawi mwanga mkubwa asiye na haya ni m1 kati ya watu waliowahi kuiumiza roho yangu sana pale alipozusha kuwa baba yangu mzazi hajafa amechukuliwa msukule.
 
Kwanza tuangalie sifa za Mbunge huyu aliyeropoka uharo huu:

  1. Darasa la 7.
  2. Mganga wa Kienyeji.
  3. Mwanachama wa CCM.

Maji Marefu-Darasa la 7
Mwigulu Nchemba-Economist First Class

Wakisimama kuongea wala hakuna tofauti kati yao....MATOPE
 
Hii ndiyo Tanzania,tunaingiza mpaka waganga wa kienyeji ndani ya bunge kunaashiria nini,au bunge limegeuka kuwa kilinge cha kupandishia mashetani.Pia akumbuke haki ya msingi ya kuishi iliyotafsiriwa katika katiba ya Jamhuri ya Muungano

Mbunge wa Korogwe-CCM Stephen Ngonyani(Profesa Maji Marefu) amemshambulia vikali Dr Stephen Ulimboka kwamba alistahili unyama aliofanyiwa na kuwataka madaktari wasimtibu.Spika Makinda ilibidi aingilie kati na kumuamuru Ngonyani kuacha mara moja kuzungumzia suala hilo ndani ya bunge kwa sababu liko mahakamani.Ngonyani akajitetea kuwa amechanganyikiwa kwa sababu aliumwa sana na watu wakamzushia kifo.Kabla ya kuwa Mbunge Ngonyani amewahi kuwa mganga wa kienyeji.Kauli hiyo ya Ngonyani ilionekana kushangiliwa sana na wabunge wenzake wa CCM huku wale wa CHADEMA wakimzomea.
 
kazoea kuua kwa kuwapigisha watu ramli
katika mchango wake bungeni leo mbunge wa Korogwe kawatonesha madaktari kidonda! Kasema kama madaktari wamegoma kutibu watu kwa nini wanamtibu dr. Ulimboka? Madam Spika ikabidi amzuie kwamba swala liko mahakamani! Mi nadhani afya yake mgogoro angeishauri serikali yake
 
Hii ndiyo Tanzania,tunaingiza mpaka waganga wa kienyeji ndani ya bunge kunaashiria nini,au bunge limegeuka kuwa kilinge cha kupandishia mashetani.Pia akumbuke haki ya msingi ya kuishi iliyotafsiriwa katika katiba ya Jamhuri ya Muungano
serikali ya kichawi,viongozi wachawi kila mmoja ukimkagua hakuna mwenye Mungu wa kweli wote Mungu wao ni shetani,Hivi kama siyo uchawi kwa madudu wanayofanya bungeni kuna hata mmoja angechaguliwa?kabisaa mganga nae anaweza changia nini?halafu mbaya zaidi wenzake wanashangilia,yaani iko siku watajutia nafsi zao na iko karibu kuliko wanavyofikiria,wasifikiri nchi zenye vita wanapenda,ni ushenzi kama huo wakwao ndo unapelekea nchi kuingia vitani,kama hawaamini wakawaulize wenzao
 
Mbunge wa Korogwe-CCM Stephen Ngonyani(Profesa Maji Marefu) amemshambulia vikali Dr Stephen Ulimboka kwamba alistahili unyama aliofanyiwa na kuwataka madaktari wasimtibu.Spika Makinda ilibidi aingilie kati na kumuamuru Ngonyani kuacha mara moja kuzungumzia suala hilo ndani ya bunge kwa sababu liko mahakamani.Ngonyani akajitetea kuwa amechanganyikiwa kwa sababu aliumwa sana na watu wakamzushia kifo.Kabla ya kuwa Mbunge Ngonyani amewahi kuwa mganga wa kienyeji.Kauli hiyo ya Ngonyani ilionekana kushangiliwa sana na wabunge wenzake wa CCM huku wale wa CHADEMA wakimzomea.
Aombe yeye na hao waliomshangilia wasiumwe tena, wakiumwa au kupata ajali wapitilize India

Safiii hisia nzito hizi

Jitambulishe ili ukija hospitali tukutibu ipasvyo
 
Mimi siwezi kushangaa kauli hii kutolewa na Ngonyani. Ninachoweza kushangaa ni kwa nini mtu kama huyu analipwa mshahara karibu mara 10 ya mshahara wa daktari? How can you justify this!
 
mtu ambae alikua mganga wa kienyeji na kuabudu uchawi leo ndio kawa mbunge wa ccm...kazi kweli kweli
 
Mbunge wa Korogwe-CCM Stephen Ngonyani(Profesa Maji Marefu) amemshambulia vikali Dr Stephen Ulimboka kwamba alistahili unyama aliofanyiwa na kuwataka madaktari wasimtibu.Spika Makinda ilibidi aingilie kati na kumuamuru Ngonyani kuacha mara moja kuzungumzia suala hilo ndani ya bunge kwa sababu liko mahakamani.Ngonyani akajitetea kuwa amechanganyikiwa kwa sababu aliumwa sana na watu wakamzushia kifo.Kabla ya kuwa Mbunge Ngonyani amewahi kuwa mganga wa kienyeji.Kauli hiyo ya Ngonyani ilionekana kushangiliwa sana na wabunge wenzake wa CCM huku wale wa CHADEMA wakimzomea.

Ndio hasara ya kuwa na wabunge wasio na elimu ya kutosha. Nadhani anataka watu wakatibiwe kwake maana na mganga wa jadi. Anadai Dr Ulimboka asitibiwe. Yeye hana wasiwasi maana ataenda India. Lakini asisahau kwamba ndugu zake hawaenda India.
 
Kujadili watu badala ya hoja kunadhihirisha ujuha wa baadhi yetu! Sasa chukulia mfano huu... Mtoto anavuka barabara ya Umoja wa mataifa, na kwa bahati mbaya anagongwa na gari..hali yake ni mbaya na wasamaria wanamkimbiza Muhimbili ili kuokoa uhai wake...Je madaktari watamtibu km walivyofanya kwa Ulimboka? kama wasipomtibu ni kwa mantiki gani?
 
Huyu mbunge hana mchango katika taifa alistahili kufa tu, anamaliza rasilimali za taifa bure
 
Hao ndio wabunge wa CCM asilimia kubwa ni Mataahira kama huyo mmoja wapo.
 
Huyu mbunge hana mchango katika taifa alistahili kufa tu, anamaliza rasilimali za taifa bure
nadhani anawakilisha kundi waganga wa jadi. anaweza kutoa hoja binafsi ya kupendekeza na mganga ambaye hataingizia hasara serkali kwa kwenda kwa waganga kwa kuwa yeye mwneyewe ni SANGOMA
 
Mamiluki ccm wanaongezeka daily,kutoka lusinde sasa majimarefu,walio mpigia kura walilogwa na kama atapita tena basi wananchi watakuwa na akiri kama zake hivi,nisameheni bure jamani inakera :A S cry:
 
Back
Top Bottom