Spika Makinda ampiga Stop Stephen Ngonyani kumshambulia Dr Ulimboka

Nadhani selikali imetambua kuwa ktk sakata migomo sehem kubwa ya jamii inawaunga mkono ma dr, kupigwa kwa ulimboka kimekuwa kipimo kizuri ktk hilo
 
Kuepuka kauli na watu kama hawa inabidi tutengeneze sheria kama ya Kenya kwamba ili uwe mbunge lazima uwe na degree kuanzia moja dunia imebadilika siku hz!tutaondoa kero za namna hii mjengoni!
Mbona unaongea kama mgeni ndugu yangu? Hujawaona maprofesa na madaktari wakigonga meza huko bungeni wakati pumba kama hizi zinapomwagwa? Hujiulizi huyo kilaza Ngonyani anapata wapi ujasiri wa kuongea hovyo namna hiyo! Kwa taarifa tu ni kwamba wasomi wetu ndio chanzo cha matatizo yetu mengi ikiwemo mikataba ya kifisadi. Ukiona kilaza moja anaongea bungeni, jua wako wasomi kibao nyuma yake wanampa sapoti...hao ndio mtaji mkubwa wa CCM.
 
Hivi jaman mi nauliza kwanin wabunge wa CCM, wanaunga mkono hoja arafu anaanza kuikosoa tena maana yake nini
 
Zamani tulikuwa tunawaita magagula..siku hizi ni law makers...hizi speed za safe declared professors sio mchezo
 
Hajala nyama ya binadam cku nyingi! Kwa taarif a yako Ulimboka wil survive!
 
huyu si katoka India kutibiwa alienda na daktari wake, na wanawake wawili wa familia siju wake zake. ana daktari alisafiri nae kwenda india. yeye kuugua watu wanne kama labda wengine walikuwepo mahotelini labda kumuuguza na kula holiday kwa pesa ya wananchi.

hana aibu kabisa kusema aliyosema, wakati ni muhimbili alianzia kutibiwa.
 
Jaman mwenye CV ya huyu prof deep water atuwekee hapa.

asiwape maumivu ya kichwa huyu prof wa tunguli!!mwanzoni alikuwa dj wa madisco ya vijijini huko korogwe mapema miaka ya 80,baadae mambo yalipokuwa magumu akawa mfanya biashara uchwara hadi kuishia gerezani kwa wizi wa mabati kwenye kijiji cha kwashemshi kabla ya kupotelea sumbawanga alikorejea na uprof wa tunguli.

kuhusu shule hata darasa la saba hakumaliza.
 
Ngonyani akajitetea kuwa amechanganyikiwa kwa sababu aliumwa sana na watu wakamzushia kifo.
kichaa anawezaje kuruhusiwa kuingia bungeni, bunge linapoteza hadhi yake kwa kuruhusu majitu hewa kama hili maji marefu, stupid kabisa[/QUOTE]

Hiyo ndio CCM sasa wote ni vichaa hakuna mzima hata mmoja.
 
Nilikuwa nawaza mbunge gani? Kumbe ni yule TAWILE wa Tanga-hamnazo kitambo. Tumwombee tu pengine maruhani yatashuka.WAGOSI WALIULIZA:kunani pale?
 
Katika hali ya kushangaza Mbunge wa Korogwe Vijijini kipigo alichopata Ulimboka alistahili. kwa kauli hii inanifanya nisiamini kuwa imetoka kwa mhe. Mbunge wa kuchaguliwa na wananchi. Nafikiri umefika wakati bunge kuweka sharti la kiwango cha elimu na kauli za kuongea bungeni hili la kuwa na kinga kwa kila unachoongea bungeni inawafanya wabunge kuropoka hata yasiyopaswa kuropoka....
 
Kwa serikali ya sasa si ajabu ukamsikia maji marefu ni naibu waziri au waziri kabisa wa afya nchi hii!
 
Maji m*r*fu alishazoea kuona damu za kuku, kwaiyo alivyo ona damu ya Dr Ulimboka akaifananisha na ya wale kuku aliokuwa akiwachinja njia panda.inakuwaje mganga wa kienyeji anakuwa mbunge?yeye nimtaalamu wakuchanja watu na viwembe.enzi zake tulikuwa tunaona mabango yake yanaeleza magonjwa anayo tibu ambayo ni MVUTO KWA MPENZI,PESA ZA MAJINI,KUONGEZA HAMU YAKUFANYA MAPENZI nk. sasa yeye na u Dr.wapi na wapi?
 
Kwa nini wasishangilie wakati wanajua walichokifanya ingawa kimefeli, mganga wa kienyeji tangu lini akawa mkweli? huyu ni mwehu, kwa chama makini huwezi kusimamisha mshirikina awe mbuge, alichokiongea ni sahihi kwao na chama chao, maana wao walipanga kuua na wauaji wote ni watoto wa shetani akiwemo na ngonyani mwenyewe.
 
Licha ya dunia ndogo aliyonayo,mimi nadhani chama chake kilipaswa kuwapa tahadhari wabunge wake kuongelea issue nyeti kama hii ktk muda ambao vyombo vya usalama vinatuhumiwa kuhusika.
asiwape maumivu ya kichwa huyu prof wa tunguli!!mwanzoni alikuwa dj wa madisco ya vijijini huko korogwe mapema miaka ya 80,baadae mambo yalipokuwa magumu akawa mfanya biashara uchwara hadi kuishia gerezani kwa wizi wa mabati kwenye kijiji cha kwashemshi kabla ya kupotelea sumbawanga alikorejea na uprof wa tunguli.

kuhusu shule hata darasa la saba hakumaliza.
 
​Mch Mtikila atatoa msimamo wake JUU ya unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka na MGOMO wa Madaktari asubuhi hii pale travertine Hotel magomeni.Katika salaam Zake za kukaribisha WAANDISHI amesema kuwa CCM na serikali yao Hawana uchungu na Maisha ya Watanganyika kwa kuwa wao hata Wakipata chunusi wanakwenda kutibiwa Ulaya na India. Kwa hiyo Lengo kubwa la CCM watu wa NCHi hii wafe iLi wao wapate kuimemena NCHi bila kizuizi.ameonya kuwa waliomfanyia unyama Dr Ulimboka wana Ndugu na hawaishi mbinguni na Kama Walalahoi wakiamua watazikwa wakiwa hai Kabla ya kuwamaliza Madaktari.
 
Naona hili suala limemuibua Mtikila mafichoni
 
Maji m*r*fu alishazoea kuona damu za kuku, kwaiyo alivyo ona damu ya Dr Ulimboka akaifananisha na ya wale kuku aliokuwa akiwachinja njia panda.inakuwaje mganga wa kienyeji anakuwa mbunge?yeye nimtaalamu wakuchanja watu na viwembe.enzi zake tulikuwa tunaona mabango yake yanaeleza magonjwa anayo tibu ambayo ni MVUTO KWA MPENZI,PESA ZA MAJINI,KUONGEZA HAMU YAKUFANYA MAPENZI nk. sasa yeye na u Dr.wapi na wapi?

umesahau mkuu na sasa hivi wanatoa na DAWA yA kUJIUNGA NA FREEMASONS
 
Back
Top Bottom