Spika Makinda alaani vyombo vya habari

Mimi cku zote uwa nasema hv ""IF YOU FIGHT WITH A NATURE THE NATURE WILL KILLS YOU"" Mama makinda nakushauri usome alama za nyakati kuwa nature kwa sasa haitaki uegemee upande wowote acha watu waeleze lilio moyoni, kuwa mwepesi kama Sita be wise onyesha utashi wako, nature itakuumbua ukiendelea namna hii, sikiliza unayoambiwa na wananchi/Wabungr badilika,make hao ndo nature yenyewe la sivyo utaishia pabaya mamaa,,,Huu ni ushauri wa bure tu mama!!!!!
 
Hapo kwenye red: Makinda amekuwa anarudia rudia sana hiyo kauli, utadhani kanuni za bunge ni manual ya kutengeza rocket! Lakini ukitafakari kwa makini utagundua anachosema Makinda ni kwamba 'Spika' anakili za ziada, anaona mambo ambayo mtu mwingine yoyote hawezi kuona, na anachosema hakuna mtu anatakiwa kupinga maana she's 'perfect'. Zidumu fikra za spika!

oh,nimecheka mpaka basi,,,,,,kwani mambo mengine mbona hayahitaj mtu ajue kanuni,?????lugha chafu aloongea LUSINDE inataka KANUNI????
 
kwahiyo kanuni za bunge zinabana wapinzanu, tunasubiri wapinzani wachukie nchi tusikie vilio kwamba kanuni zibadilishwe
 
Watanzania walihitaji kupata SPIKA wakapewa matoto ya Njiwa (makinda) dhaifu.mwanamke asipoolewa huwa na utasa au ugumba wa fikra + Utapiaubongo. so sio yeye ila ni maradhi aliyonayo ndio chanzo cha udhaifu wake mjengoni.
 
oh,nimecheka mpaka basi,,,,,,kwani mambo mengine mbona hayahitaj mtu ajue kanuni,?????lugha chafu aloongea LUSINDE inataka KANUNI????

Mkuu, kwa bahati mbaya ile lugha ya Mhe. Lusinde haipo katika kanuni za bunge la TZ!! Kwa maana nyingine ni ruksa!!!
Zenyewe (kanuni za bunge) hujitokeza pale mbunge wa upinzani anapoongea kitu kilicho nje ya maslahi ya serikali ya TZ au kinachomuumbua mkuu fulani bungeni au serikalini, au mbunge wa upinzani anapotaka kupata ufafanuzi wa jambo fulani pale bungeni.
 
Back
Top Bottom