Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

Although English language is an international communication tool,because they made it so,it is about superiority, it is about attraction,it is about indoctrination,it is about loosing the fundamentals,when you loose your language,all you need is to understand the the basics of the language and relate in the game of survival,Language evolve and changes with time,it could be Chinese or Swahili tomorrow,like it has been Egyptian,Latin,Greek,roman,name it.What is your own language that people will like to emulate?

However,Mps reflected the terrible state of English Language in Tanzania.How are they going to represent us?Labda wawasiliane kwa Ishara
 
Kama Mtanzania naona aibu wabunge kukubaliana kutumia Kiingereza bugeni badala ya Kiswahili. Uamuzi huu ni hatua 10 nyuma kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya Taifa kweli.

mkuu suala la kwenda kuwakilisha nchi kwenye bunge la SADC lazima tujiridhishe kwamba anayetuwakilisha atakua anaelewa vyema yanayojadiliwa huko kwenye vikao vya SADC... na hatuwezi kuingia gharama za kutafuta mkalimani wa kumsaidia huyo atayechaguliwa kutuwakilisha kisa hawezi kuongea kiingereza,
 
Honorable Kidawa you are given three minetis to explain yourself
By Anna Makinda
 
Cku hiz hakuna sahihi. Membe amuunga mkono Mdee. 2meshinda
hapo tena cheche za 'magamba' zinaanza kuonekana, kumbe mtu akiwa kwenye 'nyumba' yenye vioo vya kijani akiangalia nje anadhani na jua ni la kijani bali akitoka nje anaanza kuona ukweli!
 
Mungu libariki bunge na wabunge wa TZ, si hawa viongozi wetu waliokua wanapiga debe kiswahili kiwe lugha rasmi ya kufundishia mpaka vyuo vikuu? au nimesahau!! nafikiri baraza la kiswahili lina kazi kubwa.
 
Kama hali ndio hii, ubaunsa uwe sifa ya mgombea wa ubunge kwani kupigana kunakuja mda si mrefu.
 
haya sasa engineer naye huyooo. Nategemea teminology like assume, solving, intergration, let zttwale.
 
Back
Top Bottom