Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

hata me nilimshangaa spika kwanza watu makini hujipanga kabla ya kusema.ye mwenyewe spika kasema tatatizo la chedema wanajipanga kwanza hilo sio tatizo bali ndo ustaarabu wenyewe, halafu kama spika mwenyewe kamtamka wanajipanga sasa kama wanajipanga wanakurupukaje tena manake ukishajipanga usha outway kukurupuka"!heee mwaka tusipostjabia ya loliondo bungeni basi tutastajabia ya tabora
 
mama makinda anataka kuendesha bunge kama darasa la chekechea.

Na bado...mpaka tufike hapa ndio watu watashika adabu!


sio kutaka bali analiendesha kama chekechea, sijui hawa wabunge wa ccm hawaoni hilo????
Kuna mahali tunaelekea na tutafika tu.. We ngoja ujionee
 
Hakuna spika! yes....ni uzoefu tu unaotumika na yatosha kusema mama Makinda ni mwepesi kwa uzani wa maswali na hoja anazoulizwa!
 
Tatizo la kupachika watu kwenye nafasi za wengine ndiyo hilo! Mama kakubali kuvishwa viatu ambavyo si size yake ili tu kumkomoa Sitta. Sasa hata kanuni hazijui...washauri wake ndiyo akina Werema, wamejaa uccm hata ukiwakata kwenye damu yao ni kijani...anataka askari wa bunge watumike kumtoa Wenje, lakini hajiulizi Speaker amekosea wapi...hajui! Sheria zimefunikwa na ushabiki...huyu Werema ndiye yule asiyeona umuhimu wa katiba, huyu ndiye anaye -mmissled speaker, President, na watanzania. Anakula tu fedha zetu.

Uteuzi huu wa Kikwete ni aibu tupu. Tunangoja kusikia zikirindima Bungeni kwani kila kitu ni "mwongozo wa spika" hata mambo madogo kwani speaker mwenyewe hazijui kanuni. Amejaa jazba, visasi, chuki...amekosa hata hekima ya kutulia wakati wa vurugu. uccm mbaya jamani!
 
"Tatizo jingine ninyi wa Chadema ni kwamba huwa mmejipanga kwamba huyu akazungumze hiki na huyu akazungumze kile kwa hiyo mnakurupuka sana wakati mwingine." ni baadhi ya maneno aliyotoa spika Makinda bungeni,hata kama mimi sio mfuasi wa chadema,naona bunge lisitumike kwa maslahi ya kundi fulani hii inaonyesha huyu mama hayuko makini,ushauri wangu wa bure huyu mama ajivue gamba mapema kabla bunge halijazidi kuharibika
MMh siamini
 
hvi kuna kuna nini JF siku hizi, inakuwaje mtu analeta habari ndani ya Jamvi kana kwamba kila mtu anailewewa hiyo habari, wengine wako mbali sana na TZ, TV za bongo, kama kuna habari basi ni bora ikawekwa yote in full ili tuliombali tuweze kuilewa kiundani, maana siku hizi ukitaka kupata full habari inabidi upitie thread yote huku ukiungaunga
 
Back
Top Bottom