Spika, Katibu wa Bunge wampuuza Mnyika kuhusu uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

Habarindiyohiyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
263
13
Spika na Katibu wa Bunge wamempuuza mbunge wa Ubungo juu ya madai yake ya mara kwa mara kuwa kanuni za bunge zinapaswa kurekebishwa kabla ya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi wa Afrika Mashariki. Mnyika amedai kwenye vyombo vya habari kuwa aliwasilisha mapendekezo mwezi Februari.

Mnyika anadai kuwa kanuni za uchaguzi huo zinakasoro nyingi. Anadai pia kanuni hizo zinatoa kiti kimoja kwa upinzani badala ya viwili huku mwakilishi huyo wa upinzani akichaguliwa na wabunge wote wengi wao wakiwa wa CCM. Spika na Katibu wa Bunge wamempuuza kwa kuwa hajui kuwa CCM ndio chama kilichoshinda kwenye uchaguzi wa 2010 hivyo kina mamlaka ya kuamua ni wakina nani toka vyama gani wawakilishe Tanzania kwenye bunge hilo.

.......ndiyohiyo
 
Ni kawaida yao kuwapuuza wabunge wa upinzani lakini wao wakiwapuuza wananchi watawasikiliza mifano ipo,wao wakikaa kimya mawe yataongea
 
Ningependa kukubaliana na Spika kwamba CCM kilishinda 2010. Ila anatakiwa ajiulize, ile imani (kama kweli ilikuwepo) ya wananchi kwa CCM ipo ile ile?
 
Spika na Katibu wa Bunge wamempuuza mbunge wa Ubungo juu ya madai yake ya mara kwa mara kuwa kanuni za bunge zinapaswa kurekebishwa kabla ya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi wa Afrika Mashariki. Mnyika amedai kwenye vyombo vya habari kuwa aliwasilisha mapendekezo mwezi Februari.

Mnyika anadai kuwa kanuni za uchaguzi huo zinakasoro nyingi. Anadai pia kanuni hizo zinatoa kiti kimoja kwa upinzani badala ya viwili huku mwakilishi huyo wa upinzani akichaguliwa na wabunge wote wengi wao wakiwa wa CCM. Spika na Katibu wa Bunge wamempuuza kwa kuwa hajui kuwa CCM ndio chama kilichoshinda kwenye uchaguzi wa 2010 hivyo kina mamlaka ya kuamua ni wakina nani toka vyama gani wawakilishe Tanzania kwenye bunge hilo.

.......ndiyohiyo

Wanasahau kwamba uchaguzi ule hawakushinda bali walichakachua. Pia wasisahau kwamba baada ya 2015 wao watakuwa chama cha ushindani na kanuni hizohizo kama hazitabadilishwa leo zitawaathiri wao vilevile na wasije kupiga kelele.
 
Sheria na kanuni zote zinazotungwa ili kuwalenga/kuwakomoa watu fulani, baada ya muda huwageukia watunzi.
 
mimi nasemaaa, aliyeko juu subiri shuke kaaa hapo chini ya huo mti na njaa ikimzidi atashuka .. sasa kukamatana mashati kutaanzia hapo! Hizi kanuli ndo tutaanza nazo 2015 November baada ya wao magamba kufyata mkia!
 
Tatizo la magamba wanadhani na kufikiri ya kwamba watatawala milele....hawasomi alama za nyakati
 
Spika na Katibu wa Bunge wamempuuza mbunge wa Ubungo juu ya madai yake ya mara kwa mara kuwa kanuni za bunge zinapaswa kurekebishwa kabla ya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi wa Afrika Mashariki. Mnyika amedai kwenye vyombo vya habari kuwa aliwasilisha mapendekezo mwezi Februari.

Mnyika anadai kuwa kanuni za uchaguzi huo zinakasoro nyingi. Anadai pia kanuni hizo zinatoa kiti kimoja kwa upinzani badala ya viwili huku mwakilishi huyo wa upinzani akichaguliwa na wabunge wote wengi wao wakiwa wa CCM. Spika na Katibu wa Bunge wamempuuza kwa kuwa hajui kuwa CCM ndio chama kilichoshinda kwenye uchaguzi wa 2010 hivyo kina mamlaka ya kuamua ni wakina nani toka vyama gani wawakilishe Tanzania kwenye bunge hilo.

.......ndiyohiyo

Umesema kwamba wamempuuza, wamejibu vipi hoja zake hizi:

JOHN MNYIKA: Turekebishe kwanza kanuni ndipo tufanye Uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki! kama hawajajibu bali wamempuuza tu ni dalili kuwa wamekosa majibu.

Wao Spika na katibu wa bunge ndio wanastahili kupuuzwa, sisi wananchi tuendelee kujadili.

serayamajimbo
 
Hawa jamaa upeo wao mdogo sana....hawajui kutafakari kabisa wako kichama zaidi
 
wewe waache waendelee kupuuza na wao wajue watakuwa wapinzani soon so hilo ni kaburi lao wanajiandalia pindi CDM au chama kingine kikiingia madarakani najua wataleta tena hoja hizihizi wanazozitia kapuni mda huu.

MUNGU IBARIKI - TANZANIA
 
CCM madaraka yanawalevya wanasahau wananchi si wale wale kizazi hiki si chakudanganyika tena
 
Ningependa kukubaliana na Spika kwamba CCM kilishinda 2010. Ila anatakiwa ajiulize, ile imani (kama kweli ilikuwepo) ya wananchi kwa CCM ipo ile ile?

CCM ndio chama tawala, kinastahili viti vinane kati ya 9, upinzani halali yao ni nafasi moja ili kuwe na mwakilishi mmoja wa upinzani. Mbona hamlalamikii sheria zinazoiwezesha CCM kuteua mawaziri wote bila mpinzani hata mmoja? Iweje sasa mnataka marekebisho kanuni za Afrika Mashariki?

...ndiyohiyo
 
Supika na katibu wasome article 50 ya treaty inayoanzisha EAC, halafu wasome kesi ya Prof. Anyang Nyong'o , wakisoma hivyo na kutafakari Ndio watajua Kama kumpuuza Mh. Mnyika ni sahihi au la.
 
Mkuu unaweza kutusaidia hiyo article 50 inasemaj?
 
Spika na Katibu wa Bunge wamempuuza mbunge wa Ubungo juu ya madai yake ya mara kwa mara kuwa kanuni za bunge zinapaswa kurekebishwa kabla ya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi wa Afrika Mashariki. Mnyika amedai kwenye vyombo vya habari kuwa aliwasilisha mapendekezo mwezi Februari.

Mnyika anadai kuwa kanuni za uchaguzi huo zinakasoro nyingi. Anadai pia kanuni hizo zinatoa kiti kimoja kwa upinzani badala ya viwili huku mwakilishi huyo wa upinzani akichaguliwa na wabunge wote wengi wao wakiwa wa CCM. Spika na Katibu wa Bunge wamempuuza kwa kuwa hajui kuwa CCM ndio chama kilichoshinda kwenye uchaguzi wa 2010 hivyo kina mamlaka ya kuamua ni wakina nani toka vyama gani wawakilishe Tanzania kwenye bunge hilo.

.......ndiyohiyo

Siku watakapokuwa chama cha upinzani ndiyo watajua msingi wa hoja.
 
Supika na katibu wasome article 50 ya treaty inayoanzisha EAC, halafu wasome kesi ya Prof. Anyang Nyong'o , wakisoma hivyo na kutafakari Ndio watajua Kama kumpuuza Mh. Mnyika ni sahihi au la.

Nawezaje ipata hiyo kesi ya prof. Anyang Nyon'go. jina ni tamu kulitamka.
 
Supika na katibu wasome article 50 ya treaty inayoanzisha EAC, halafu wasome kesi ya Prof. Anyang Nyong'o , wakisoma hivyo .watajua Kama kumpuuza Mh. Mnyika ni sahihi au la.
Mkuu ungetuwekea hyo article ili tujue kilichomo ndani
 
Supika na katibu wasome article 50 ya treaty inayoanzisha EAC, halafu wasome kesi ya Prof. Anyang Nyong'o , wakisoma hivyo na kutafakari Ndio watajua Kama kumpuuza Mh. Mnyika ni sahihi au la.

Article 50 of the EAC Treaty provides that “the National Assembly of each partner state shall elect, not from among its members, nine members of the Assembly, who shall represent as much as it is feasible, the various political parties represented in the National Assembly, shades of opinion, gender and other special interest groups in that partner state, in accordance with such procedure as the National Assembly of each partner state may determin

e.

Yeah! hi ilikuwa ni case ambayo wale apoointee wa Mwai kibaki walikuwa challenged mahakamani katika kesi iliyofunguliwa mahakama ya Africa Mashariki kama sikosei, na mahakama ikarule out kuwa taratibu za article ya 50 kilipuuzwa kwani mandate ya kuchagua wawakilishi wa bunge la EA liko mikononi mwabunge 100%....kwa hiyo ile hoja ya kusema eti kuwa chama kilichoshinda uchaguzi (kinachounda serikali) ndio chenye say yanani aende na nani asiende haina mashiko.....uwakilishi utakuwa based on idadi ya ya wabunge wa vyama vilivyoko bungeni na sio kwa kuwa influenced na serikali...bunge litakaporuhusu dola iifluence ni sawa na kujinyang'anya haki yake
 
Back
Top Bottom