Spika azuia posho mara mbili kwa wabunge

Nyauba

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
1,098
105
Leo katika magazeti nimesikia Spika wa Bunge Mh Anna Makinda akitoa maelekezo kuwa hairuhusiwii wabunge kupokea posho mara mbili wanapokuwa katika shughuli za kibunge kwenye taasisi na mashirika ya umma.

Je hii ni kweli au ndo kaanza kujitofautishaa na waliomtangulia? Au huyu January kamfungua macho kwa majuzi kuomba kamati yake isipokee ile bahasha ya lunch ya Tshs 1m kutoka TANESCO!!!!!!!!???
 
Anacheza mchezo wa kutafuta umaarufu kwenye magazeti. Akamuulize Mwakyembe na mkurugenzi wa TAKUKURU. Wabunge ndio wanaolazimisha hizo posho, ni jukumu la nguvu ya umma kuziondoa
 
Badala ya kuwaambia wakuu wa hayo mashirika au Halmashauri kutowapa, yeye anawaambia Wabunge, kwani wanaombaga? Atatue tatizo la msingi....................
 
Back
Top Bottom