Spika awaalika wabunge na vidosho wao

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
559
26
Hii ya leo kali Spika Six kawaalika wabunge kwenye viwanja vya bunge kwenye part ya kupitisha bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake(Tamisemi na bunge) wakiimbiwa muzik na Mbilia Bel.

Hata hivyo Six amewashauri wabunge sio lazima waje na wake zao kwani wanaweza kuja na vidosho na wenza wao.

Je hii imekaa sawa? ukizingatia tumeona hivi karibuni Magavana kwenye majimbo huko marekani wakijiuzulu

Halafu kuna hili na PM kumwita Mama Kidosho wake Mhh..... hapa pagumu
 
Mtu mzima kama huyu anaweza kudiriki kusema vitu kama hivi kweli ukubwa si akili.
sasa leo wakiambiwa wanakula pesa ya umma wanalalamika nini, na kwa nini ifanyike sherehe bajeti inapopitishwa nani analipa gharama zote hizi. Hivi viongozi wetu ni lini watakua jamani mbona kama wanakuwa wanarudi nyuma badala ya kwenda mbele kazi ipo kweli kweli.
 
Wanasherehekea kupitishwa bajeti as if bunge lina 'meno' ya kuikataa! Its just another nonsense from our beloved politicians!
 
Hii ya leo kali Spika Six kawaalika wabunge kwenye viwanja vya bunge kwenye part ya kupitisha bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake(Tamisemi na bunge) wakiimbiwa muzik na Mbilia Bel.

Hata hivyo Six amewashauri wabunge sio lazima waje na wake zao kwani wanaweza kuja na vidosho na wenza wao.

Je hii imekaa sawa? ukizingatia tumeona hivi karibuni Magavana kwenye majimbo huko marekani wakijiuzulu

Halafu kuna hili na PM kumwita Mama Kidosho wake Mhh..... hapa pagumu

This is not possible, please tell me that it ain't so !
 
Back
Top Bottom