Spika Anna Makinda afiwa na Mama yake mzazi

Pole ya msiba. Lakini ukitoka hapo urudi na roho ya kibinadamu bungeni. Sisi huku 2nakufa kwa njaa na co magonjwa. 2na2ma wawakilishi bungeni we unaona, ka 2me2ma vivuli.
 
Unafiki wa JF kila uchwao tunalalamika kwamba huyu mama spika hana huruma na malalamiko ya Watanzania na yuko kwenye kundi la mafisadi katika kuona keki ya Taifa inaliwa na wenye meno makali leo mnaanza kutoa pole za kinafiki S t u p i d i d i o t s. Unafiki mtupu!

Wale wanaokufa kila siku kwenye ajali na magonjwa ambayo yangeweza kabisa kutibika lakini kwa sababu ya watu kama Makinda wanatumia rasilmali za taifa kwenye matumbo yao bila kujali watoto wa nchi hii Je?

Hakuna pole hapa ndio afahamu pamoja na kula keki ya taifa kwa dhambi hawataweza kuishi milele hapa duniani.

Hii chuki yako imepitiliza mpaka kufurahia kifo cha mwanadamu mwenzako? hebu fikiria ungekuwa huu msiba unakuhusu. Hivi huyu mama yake ndiye aliyekukosea au mafisadi.

Mama Anna Pole sana mama yetu tunaomba Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
 
wewe una matatizo ya ubongo.
 
Wacheni unafiki mtoto wa nyoka ni nyoka wanaokufa kwa sababu za kisiasa Je? Kama ni hivyo mbona mnamwandama Riz1?
 
Pole sana mama Makinda, bwana alitoa bwana ametwaa, jina lake lihimidiwa...one thing remain.. she was loved, mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwa familia yako.
 
Sasa huyo bibi wa watu marehemu anahusikaje na tuhuma hizo ndugu yangu?

Mnampa pole Spika mimi simpi pole soma nilichoandika.

bro punguza jazba. Huu ni msiba wa bibi

Wapi nimefanya jazba?

Mmmhhhhhhh............

You need the Holy Spirit...

Wacha....Huyu bibi kakukosea nini kwani?....

R.I.P bibi Tulakala Milia Sanyuha.....Raha ya milele umpe ee bwana na Mwanga wa milele umuangazie bibi yetu,apumzike kwa amani......Amina

Wapi nimeandiki kuhusu huyu bibi? Nimeandika kuhusu Spika.

Hii chuki yako imepitiliza mpaka kufurahia kifo cha mwanadamu mwenzako? hebu fikiria ungekuwa huu msiba unakuhusu. Hivi huyu mama yake ndiye aliyekukosea au mafisadi.

Mama Anna Pole sana mama yetu tunaomba Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.

Wacha kuweka maneno yako kwenye kinywa changu.

wewe una matatizo ya ubongo.

Kama wa kwako.
 
RIP bibi, huyu bubu hana hatia hata hajui nini maana ya ufisadi
nadhani ni kati ya wale mabibi walioshika dini na wakaishi maisha marefu,
wao wanaohusudu ufisadi,
uroho wa madaraka tamaa za utajiri ndio watakufa mapema wakaungane na Lucifer
 
mungu amlaze mahali pema peponi mama wa wa spika...aaaaamen.
 
umpeeee e bwanaaaa rahaaa ya milele mwanga wa milelee umwuangaaazie
 
Pole Mama Anna Makinda. Mshukuru Mungu kwa yote kwani mama yetu huyo amejaaliwa umri mrefu. Wapo ambao mama zao walifariki siku wao wanazaliwa.
 
Mheshimiwa Spika Anne Makinda
--
Mh.Anne Sembamba Makinda(Mb),Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasikitika kutangaza msiba wa mama yake mzazi TULIKELA SAMNYUHA uliotokea ghafla Alhamisi tarehe 05/05/2011 mjini Dodoma.

Mazishi yatafanyika siku ya Jumapili Tarehe 08/05/2011 Kijijini kwao Njombe.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe Ameen.

Back
Top Bottom