AK-47
JF-Expert Member
- Nov 12, 2009
- 1,373
- 199
Spika wa Bunge la Tanzania Mh. Anna Makinda amepata msiba wa mama yake mzazi Tulakala Milia Sanyuha uliotokea leo mchana katika hospitali ya mkoa ya Dodoma. Taarifa za kifo zimethibitishwa na Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashilila. Mungu Ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amina.