spidi ya internet vodacom imekuwa na kasi ya ajabu

Achahasira

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,213
214
habari zenu wakuu,

mimi ni mteja wa internet katika mitandao mbalimbali tanzania, kasi ya internet imekuwa si nzuri kwa muda mrefu kweli.

juzi nilijiunga na kifurushi cha vodacom cha bomba7,nilijiunga kwenye sim yangu ya htc android,sema kweli siku amini spidi niliye iona.ni ya kasi ya ajabu hapa mitaa ya mikocheni na kijito nyama ambapo nimepata fursa ya kujaribu kuangalia spidi ya vodacom na airtel.

vodacom nilipo weka 3g ikaonesha 4g kwenye sim na nilipo anza ku download spidi ilifika hadi 7mbs, lkn mda mwingi inacheza kwenye 5mbs.

nilipo kuwa iringa mjini voda iligonga 500 kbs,

airtel spidi dar ni 400 kbs na iringa 45 kbs.

nimeweka picha hapo chini,

mimi sio nimekuja kuipigia kampeni voda lkn naona wanahaki ya kupongezwa kwa hili.

kweli kazi ni kwako.
 
Attachments

  • PicsArt_1344624134350.jpg
    PicsArt_1344624134350.jpg
    74.4 KB · Views: 125
  • Screenshot_2012-08-08-05-47-58.png
    Screenshot_2012-08-08-05-47-58.png
    28.9 KB · Views: 100
ile wanayotangaza kuwa kwa sh 250 internet kwa siku nzima ina speed hiyo hiyo au lazima uweke hela nyingi ndo upate speed nzuri kama airtel?
 
sina uhakika lkn naona itakuwa spidi chini ya hapo,

mfano kwenye kifurushi cha voda cha momba7 ya wiki unakatwa 10,000

na unapewa 2gb za data kwa spidi bila kikomo lkn ukishamaliza unashushwa spidi hadi 40kbs hadi wiki inapo kwisha.
 
vp kuhusu bundle ya 7000 kwa wiki unlimited speed yke???
 
samahani ndugu yangu, download speed ni 5360KBPS,FILE YAKO NI 4,112KB, INAMANISHA NDANI YA SEC 1 UNGEWEZA KUDOWNLOAD ZOTE 4,112KB, IWEJE UN-SNAP HALAFU BADO IONESHE 3,472KB? KAMA KWELI 5360KBPS IT MEANS USINGEPATA HATA 1 SEC YA KU-SNAP...
 
Wakuu, airtel unlimited bundle for 1 week ipo????? Maana nakokaa airtel inapepea kama bolt
 
samahani ndugu yangu, download speed ni 5360KBPS,FILE YAKO NI 4,112KB, INAMANISHA NDANI YA SEC 1 UNGEWEZA KUDOWNLOAD ZOTE 4,112KB, IWEJE UN-SNAP HALAFU BADO IONESHE 3,472KB? KAMA KWELI 5360KBPS IT MEANS USINGEPATA HATA 1 SEC YA KU-SNAP...

nime snap kwakutumia screenshot ya kawaida ya sim,ambayo inapiga picha kwa spidi chini ya one second,nimepiga picha pale inapoanza tu.

maana mwanzoni nilichagua file ya one mb nili snap lkn siku weza kufanikiwa kuonesha spidi(ili maliza kabla hata sijapiga)

lkn nita jaribu kudownload file kubwa ya at least 30mb ili uone vizuri.
 
mi kweli voda wana spidi mimi nipo mkoani huku ifakara tofauti na mitandao mingine.
 
samahani ndugu yangu, download speed ni 5360KBPS,FILE YAKO NI 4,112KB, INAMANISHA NDANI YA SEC 1 UNGEWEZA KUDOWNLOAD ZOTE 4,112KB, IWEJE UN-SNAP HALAFU BADO IONESHE 3,472KB? KAMA KWELI 5360KBPS IT MEANS USINGEPATA HATA 1 SEC YA KU-SNAP...

Naona biohazard hajapitia hii post yako.

Hio 5360 ni kbps (kuna b ndogo) na 4112 ni kBps (kuna B kubwa) ikiwa b ndogo inamaanisha bit na ikiwa B kubwa ni bytes
Bit 8 ni sawa na bytes 1
So hapo ulitakiwa uchukue speed 5360 ugawanye kwa 8 ili upate speed ya kilobytes ambayo ni 670kBps.
I hope umenipata
 
Ile ya sh250 ni mb25 na speed hawajailimit sjawah skia voda kulimit speed kwenye bundle zao untill waseme wenyewe kama bomba 7 na bomba 30
Mkuu, 25mb haziwezi kufika masaa 24, lakini nimeipenda hiyo ya 2gb kwa 10000/=, natumia huawei e173 ya airtel nimehangaika sana kui-unlock lakini nimechemka, nisaidie steps if possible
 
Hizo airtel huawei e173 ni customized software mpaka dc unlocker kuichakachua ambayo mpaka ulipie unless uwe kichwa sana kwenye hayo mambo ndo uweze kuiunlock

Voda wana bundle mpya kama hutaki unlimited i think 5gb kwa sh 20.000 kwa mwez is the best
 
Nimeshajaribu bundles tatu za vodacom. yaani bundle ya sh 10,000/- kwa wiki ( hii ipo ok na unapata 2gb ya ukweli) nikajaribu ya sh 30,000/- ( hii sikuiwekea umakini maana nilitaka nitumie mwezi mzima ila iliisha mapema sana kamasikosei ni wiki na nusu na sikudownload zaidi ya 2gb )
nikanunua hiyo bundle ya 5gb kwa sh 20,000/ cha kushangaza ziliisha ndani ya siku tano tu. na sikudownload zaidi ya 2gb. nafkiri hichi kifurushi kina utata nawaomba hao mainjinia wakiangalie na wakirekebishe. kwa sasa nimerudi natumia kifurushi cha sh 10,000/ kwa wiki na kipo poa. unapata 2gb.

Vodacom Kwa speed wapo juu. Airtel wamepoteza mwelekeo, hata ununue kifurushi kikubwa lakini utateseka na speed yao, imekuwa sloooow sana nikafkiri labda ni mitambo imesumbua na inaweza kurudi mda mfupi mmmhh ni miezi sasa hali ni mbaya.
 
mkuu nakubaliana mia kwa mia bundle ya 10000 ni nzuri na uwakika,
 
Back
Top Bottom