Sperm donor needed

On BEHALF of my dear good FRIEND naomba kutuma maombi ya sperm donor....
Vigezo
Formost::::God fearing
1.Msomi (Geek)
2.Good looking (this is subjective so u will have to send ur picture ili muhusika aamue kama ameridhika)
3.Athletic
4.Great Personality
5.Generous and loving by heart

kwa aliye tayari atapata masharti zaidi PM

NB. Tafadhali volunteer jua kuwa hautaruhusiwa kuonana na mtoto atakapozaliwa na kama ikitokea imebidi basi mtoto atakufahamu kana Uncle
Pili. hautakutana kimwili na mlengwa bali utalazimika ku donate sperms zako.
NAWASILISHA
NN

Kwenye highlight, kumuona sura yake ruksa?
 
Kwenye highlight, kumuona sura yake ruksa?[/QUOTE

ahaa it can be arranged muonane na mlengwa kama kuna ulazima sana........ila ni mtu wa low profile sana......
Kwanini anataka kupata mtoto kwa njia hii? Nauliza kwa sababu kama kweli anataka donor awe God fearing, inamaanisha kwua na yeye ni God fearing. Sioni ni kwa vipi mtu ambaye ni God fearing anaweza kuamua kupata mtoto kwa njia hii
 
God fearing? Afu 3 to 5 sioni za nini wakati hataki kuwa na mahusiano na huyo mtu baada ya kuzaa.

Anyways, good luck
 
i hope she wil get to read this,, unajua she is God fearing and when she told me of this option i objected big time ingawa she had all the medical reasons to back her up lakini nadhani labda yupo really depressed as well as amepitia mengi sana kwa muda mfupi,,, kifo cha mume, hiv positive, fibroid growth for the second time etc i mean thats a lot for one person to handle lakini i continue to pray na kumtia moyo sio rahisi hata kwa yeye kufikia haya maamuzi
 
God fearing? Afu 3 to 5 sioni za nini wakati hataki kuwa na mahusiano na huyo mtu baada ya kuzaa.

Anyways, good luck

Thank you,, ni kwamba angependa donor awe na hizo genes amrithishe mwanae lakini kinachomzuia mahusiano ni kutokana na yaliyompata ingawa i try to tell her kuwa hata kama ni HIV positive she could still meet another man who will heal her broken heart afta the death of her husband,, kwakweli si kwamba ni right option lakini its what she has opted due to her distress mimi i wont judge kwakweli i sort of sympathize with her
 
Aiseee baba yangu aku mi sitaki nisije nikatoa zangu ukapeleka kwa dada yangu ikawa balaa

ngoja nikate mbege
 
Nipm picha yake nimuone asije kunizalia kituko coz damu ya mtu haipotei. kabla sijampm mwambie anipm kwanza. mia
 
hakika umagharibi unatupeleka pabaya.
Kila wanachofanya nasi tunaiga.
AmaKweli kusoma sio kuelimika.
Sory, napita tu.
 
On BEHALF of my dear good FRIEND naomba kutuma maombi ya sperm donor....
Vigezo
Formost::::God fearing
1.Msomi (Geek)
2.Good looking (this is subjective so u will have to send ur picture ili muhusika aamue kama ameridhika)
3.Athletic
4.Great Personality
5.Generous and loving by heart

kwa aliye tayari atapata masharti zaidi PM

NB. Tafadhali volunteer jua kuwa hautaruhusiwa kuonana na mtoto atakapozaliwa na kama ikitokea imebidi basi mtoto atakufahamu kana Uncle
Pili. hautakutana kimwili na mlengwa bali utalazimika ku donate sperms zako.
NAWASILISHA
NN

Hapo juu kwenye red, God fearing?........ nani ambaye mwenye hofu ya Mungu kiukweli ukweli anayeweza kufanya hicho kitu? Na hicho kipengele cha mwisho (namba 5) kina umuhimu gani katika kuchangia hizo sperm au huyo mdada anaweza kubadili maamuzi baadae ili jamaa awe anaendelea kutifua mzigo? ina maana kuchangia sperm hadi awe na upendo wakati kid hatoonana nae?
 
On BEHALF of my dear good FRIEND naomba kutuma maombi ya sperm donor.... Vigezo Formost::::God fearing 1.Msomi (Geek) 2.Good looking (this is subjective so u will have to send ur picture ili muhusika aamue kama ameridhika) 3.Athletic 4.Great Personality 5.Generous and loving by heart kwa aliye tayari atapata masharti zaidi PM NB. Tafadhali volunteer jua kuwa hautaruhusiwa kuonana na mtoto atakapozaliwa na kama ikitokea imebidi basi mtoto atakufahamu kana Uncle Pili. hautakutana kimwili na mlengwa bali utalazimika ku donate sperms zako. NAWASILISHA NN
Mi ninazo hizo Sifa zote hapo ila Ntakusaidia kwa Shs Milion 11 hivi..bei inaweza kushuka kidogo,naona watu wanauza figo nchi za nje walipe ada za vyuo ndo unazungumzia hili? kama una hio ela ni PM.Naitwa Bonnie Mushi
 
On BEHALF of my dear good FRIEND naomba kutuma maombi ya sperm donor....
Vigezo
Formost::::God fearing
1.Msomi (Geek)
2.Good looking (this is subjective so u will have to send ur picture ili muhusika aamue kama ameridhika)
3.Athletic
4.Great Personality
5.Generous and loving by heart

kwa aliye tayari atapata masharti zaidi PM

NB. Tafadhali volunteer jua kuwa hautaruhusiwa kuonana na mtoto atakapozaliwa na kama ikitokea imebidi basi mtoto atakufahamu kana Uncle
Pili. hautakutana kimwili na mlengwa bali utalazimika ku donate sperms zako.
NAWASILISHA
NN

uwa napoteza sperm zangu bafuni kila kukicha kumbe ni dili? tafadhari kama inawezekana nitafutie wateja hata kumi wanilipe kilo kilo sio mbaya
 
Back
Top Bottom